Miss Natafutwa nimeshapata Kazi, Asanteni wote mlionipambania ❤️❤️❤️

unapata faida gani kuandika uongo ambao hakusaidii lolote zaidi ya kujidhalilisha huu.vyote ulivyoandika ni pumba tu ili kutetea ule uzi wako wa kitapeli ambao watu walikustukia sasa unataka kujaribu kijificha kwenye kichaka cha umepata kazi,umepata mume na umejenga ndani ya wiki mbili
 

Mimi nachojuwa ulisema uongo kuhusu Ada ya mdogo wako maana Nilikuwa tayari kumsaidia kabisa ukazuia details zako, Kama kwenye lile ulikuwa muongo; Hata hapa I consider wewe ni Muongo.
 
Swaga tu😂, post yako Ile ilikua Jan 12,2025. Yaan ushafanya interview na kuitwa kazini tyr ndani ya wiki mbil 😂?? Na mzee ushampata? Basi story yako ulikua unatu enjoy tu. ?
Kama ndo simple kiasi hicho bs fanya jambo na sisi tupunguze msongo wa mawazo.
Tupe hata muongozo tu
 
Hongera saaana madam Mungu ni mwema kila wakati!!!ila kuna swali 1 niliwahi kukuuliza na ukakausha hivi UDSM kuna diploma ya Education????na ulihitimu mwaka gani?
 
Pole na hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…