Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

Mlolongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
3,483
Reaction score
6,257
Tuanze na hii picha namba moja.

Screenshot_20221018-172121_1.jpg

Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama?

Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba mbili hapa chini?

Tofauti na namba moja iko vipi?

Screenshot_20221018-172745_1.jpg



Tuendelee...
Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine dashed. Kama namba tatu hapa chini.

Screenshot_20221018-172407_1.jpg

Maana yake nini hapa, kwamba ni ruhusa ku-overtake? Siwezi kupigwa faini eeeh?

Anyway, hapo hapo kwenye dashed line, hii mistari nayo inakuaga aina mbili.

Kuna mmoja unakua "long dashed" kama picha namba nne hapa chini.

Screenshot_20221018-174433_1.jpg


Hiyo ina tofauti gani kimatumizi na "short dashed" line kama hii namba tano!

Screenshot_20221018-174559_1.jpg


Mwisho kabisa, I'm just curious...

Hivi tofauti ya colour kwenye mistari ina matter sana? Mfano badala ya "single white solid line" ukute ni mistari wa njano kama hizi picha namba sita na saba:

Screenshot_20221018-171613_1.jpg

Screenshot_20221018-174313_1.jpg

Zina tofauti gani na zile moja na mbili pale juu!
 
Mimi nipo kama wewe ktk kuelewa kwangu...
 
Tatu
Unaruhusiwa kupita overtake lkn wote mkiwa upande wa dashed line
Kama mkiwa upande wa solid hakuna overtake
 
Straight line sio sehemu ya kuovatake na ukiangalia vizuri unaikuta sehemu ya kona au near zebra

Dots you can overtake
 
Hapo kiufupi unatakiwa kuangalia mstari uliopo upande wako,km mstari umepita mmoja huo unatumika pande zote mbili.Therefore km kuna dash hapo unaruhisiwa kuovertake,No dash usiovertake sio sehem salama hyo

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Nilisoma short course ya driving pale veta, kwa picha namba moja na mbili ni kwamba hakuna kuovertake.

Picha namba tatu, wa kushoto hakuna kuovertake wa kulia kwenye mistari ya doti unaweza overtake.

Picha namba nne na tano wa kushoto au kulia anaruhusiwa kuovertake.

Picha namba sita na saba hapo karo na muda wangu wa kusoma darasani uliishia hapo, nawasubiria tanroad na tarura wanipe maana ya hiyo mistari ya utopolo.
 
Back
Top Bottom