Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Tuanze na hii picha namba moja.
Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama?
Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba mbili hapa chini?
Tofauti na namba moja iko vipi?
Tuendelee...
Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine dashed. Kama namba tatu hapa chini.
Maana yake nini hapa, kwamba ni ruhusa ku-overtake? Siwezi kupigwa faini eeeh?
Anyway, hapo hapo kwenye dashed line, hii mistari nayo inakuaga aina mbili.
Kuna mmoja unakua "long dashed" kama picha namba nne hapa chini.
Hiyo ina tofauti gani kimatumizi na "short dashed" line kama hii namba tano!
Mwisho kabisa, I'm just curious...
Hivi tofauti ya colour kwenye mistari ina matter sana? Mfano badala ya "single white solid line" ukute ni mistari wa njano kama hizi picha namba sita na saba:
Zina tofauti gani na zile moja na mbili pale juu!