Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini hata shetani akiona picha hii ataona aibu kusema kuna watu kumi tu hapo, lakini binadamu mwenye wivu na unafiki wa kupitiliza hata macho huwa hayaoni. Hata masikio hayasikii!Watu kumi ndio haijapata kutokea .wanamdhamini mtu asiyekuwepo wala hata rudi
Duuu kwani si CDM imekufa jamani?
kumekucha kumbe ngoja nivute usingizi kidogo ,niliwai sema hum kwamba lissu anaweza hata akae huko nje na bado akapata kura za kutosha jamaa very giftedHali ndio kama mnavyoona ndugu zangu
View attachment 1502951View attachment 1502952
Sina cha kuongeza , wale mnaotaka nyama zaidi endeleeni kula mtori , nyama mtazikuta chini
Kipindi kama hiki Lowasa alikuwa ameshazunguka nchi nzima na kudekiwa barabara laikini alipigwa chini vilevile
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Ni kweli, mshindani wake ana ushawishi mkubwa sana wa kutumia MTUTU WA BUNDUKI na GENGE LA WASIOJULIKANA, mambo ambayo Lissu hana.Ni halali kabisa, Tundu ni mwanasiasa mwenye ushawishi mzuri sema mshindani wake Kutokea CCm yeye ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa mara 10 zaidi yake
Tundu atashindanaaa!! Lakini hatoshinda, ni Nani Kati ya Lowasa na huyo Lisu ayekuwa ni mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi ya mwingine?
Lakini lowasa licha ya kuwa ni mwanasiasa nguli Kwa Magufuli alisalimu amri
Kwa sasa, Tz hii hakuna kama Magufuli
We unaona ipo? Hao wanahesabika na wameishako majumbani,
Nadhani akizidisha sana ni miloni moja nchi nzima.
Umeonaeeeee? Hapo tayari ushalifukuza gambaHakushindwa bali Mlimuibia kura zake
Sisi wanachato tutamdhamini kupita maelezoHali ndio kama mnavyoona ndugu zangu
View attachment 1502951View attachment 1502952
Sina cha kuongeza , wale mnaotaka nyama zaidi endeleeni kula mtori , nyama mtazikuta chini
Chadema pigeni debe kwa Wabunge mtafanikiwa zaidi
Urais Lissu watu wanamtambua ni chaguo la wengi nguvu hamishieni kwa kutafuta Wabunge
Mjifunze kutokana na makosa ya nyuma
PhotoshopHali ndio kama mnavyoona ndugu zangu
View attachment 1502951View attachment 1502952
Sina cha kuongeza , wale mnaotaka nyama zaidi endeleeni kula mtori , nyama mtazikuta chini
Kwa hiyo na nyie mnamuiga ccm?Twambieni na haya mafuso yanasomba kitu gani? View attachment 1503138View attachment 1503141
Mimi nahusikaje na waraka wa Shura ya Maimamu ?Amkeni Amkeni Amkeni
Nikiwa km mfuasi wa taasisi yetu BAKWATA Jana nilipingwa Sana na kuzodolewa na Waislamu wenzangu wasiomfuata Mufti Wetu muadhama Sheikh Mkuu Zubeir Bin Ally.
Hawakuwa pekee Yao,waliandamana na wafuasi wa CHADEMA na ACT KUUSAMBAZA ULE WARAKA ULIOITWA WA BARAZA KUU NA SHURA YA MAIMAMU.....
Ukweli umedhihiri.
Kiongozi wa hilo BARAZA,shaykh Kundecha amejitokeza HADHARANI....
ANASEMAJE?
Ameupinga huo WARAKA unaosambaa....
Amesema HAWAJAUTOA wao....na wao Wala hawawaelekezi Waislamu katika hayo YALIYOANDIKWA humo ndani.
Uongo umejitenga,kina Mohamed Said waelewe hili...
Kina Erythrocyte na Kalamu waelewe hili.....
BAKWATA ndiyo taasisi pekee inayowasemea waislamu hapa nchini.
Mwenyezi Mungu ambariki Sheikh Mkuu wa BAKWATA,aaaamin.
Mwenyezi Mungu ambariki Rais Magufuli, aaaamin.
Mwenyezi Mungu ambariki Dr.Hussein Mwinyi,aaaamin.
😆😆😆Twambieni na haya mafuso yanasomba kitu gani? View attachment 1503138View attachment 1503141
na hapo ndipo tutakapogawana fitoHata mimi naliwaza hilo kama Tundu atagombea itakuwa balaa uchaguzi wa mwaka huu,tume ikijaribu kuchakachua yaaani hapo ndio mgogoro utakapoanxia!!
Kama unataka vita subiri baada ya uchaguziMisululu ndio iyo? Hili lichama lina watu hawana akili kabisa. Siasa za kulia lia zishapitwa na wakati hamna mbinu zozote kushawishi watu sahivi.