Uchaguzi 2020 Misururu ya Wadhamini wa Tundu Lissu Tarime haijapata kutokea, huyu mtu ana nini lakini?

Uchaguzi 2020 Misururu ya Wadhamini wa Tundu Lissu Tarime haijapata kutokea, huyu mtu ana nini lakini?

Watu kumi ndio haijapata kutokea .wanamdhamini mtu asiyekuwepo wala hata rudi
Naamini hata shetani akiona picha hii ataona aibu kusema kuna watu kumi tu hapo, lakini binadamu mwenye wivu na unafiki wa kupitiliza hata macho huwa hayaoni. Hata masikio hayasikii!
 
Ni halali kabisa, Tundu ni mwanasiasa mwenye ushawishi mzuri sema mshindani wake Kutokea CCm yeye ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa mara 10 zaidi yake

Tundu atashindanaaa!! Lakini hatoshinda, ni Nani Kati ya Lowasa na huyo Lisu ayekuwa ni mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi ya mwingine?

Lakini lowasa licha ya kuwa ni mwanasiasa nguli Kwa Magufuli alisalimu amri

Kwa sasa, Tz hii hakuna kama Magufuli
Ni kweli, mshindani wake ana ushawishi mkubwa sana wa kutumia MTUTU WA BUNDUKI na GENGE LA WASIOJULIKANA, mambo ambayo Lissu hana.
 
Mbona unateseka sana ndugu yangu, nimeuliza swali wewe ulitakiwa ujibu lkn kinyume chake unaleta ngonjera!
We unaona ipo? Hao wanahesabika na wameishako majumbani,
Nadhani akizidisha sana ni miloni moja nchi nzima.
 
Mauwaji yataweza kutokea endapo atatangazwa ambaye hakuchaguliwa. Naiona Tanzania mpya, baada ya kumwaga damu. Damu lazima imwagike ndipo ukombozi upatikane. Watu wanaoilinda ccm watakuwa wanaenda kuiba kura huku familia zao zilizopo sehemu mbalimbali kwenye vinyumba vya bati zikichomwa moto. Nawaona watanzania uvumilivu ukiwashinda hasa kutokana na ukosefu wa ajira bila sababu.
 
Amkeni Amkeni Amkeni

Nikiwa km mfuasi wa taasisi yetu BAKWATA Jana nilipingwa Sana na kuzodolewa na Waislamu wenzangu wasiomfuata Mufti Wetu muadhama Sheikh Mkuu Zubeir Bin Ally.

Hawakuwa pekee Yao,waliandamana na wafuasi wa CHADEMA na ACT KUUSAMBAZA ULE WARAKA ULIOITWA WA BARAZA KUU NA SHURA YA MAIMAMU.....

Ukweli umedhihiri.

Kiongozi wa hilo BARAZA,shaykh Kundecha amejitokeza HADHARANI....

ANASEMAJE?

Ameupinga huo WARAKA unaosambaa....
Amesema HAWAJAUTOA wao....na wao Wala hawawaelekezi Waislamu katika hayo YALIYOANDIKWA humo ndani.

Uongo umejitenga,kina Mohamed Said waelewe hili...
Kina Erythrocyte na Kalamu waelewe hili.....

BAKWATA ndiyo taasisi pekee inayowasemea waislamu hapa nchini.

Mwenyezi Mungu ambariki Sheikh Mkuu wa BAKWATA,aaaamin.

Mwenyezi Mungu ambariki Rais Magufuli, aaaamin.

Mwenyezi Mungu ambariki Dr.Hussein Mwinyi,aaaamin.
Mimi nahusikaje na waraka wa Shura ya Maimamu ?
 
Misululu ndio iyo? Hili lichama lina watu hawana akili kabisa. Siasa za kulia lia zishapitwa na wakati hamna mbinu zozote kushawishi watu sahivi.
 
Hata mimi naliwaza hilo kama Tundu atagombea itakuwa balaa uchaguzi wa mwaka huu,tume ikijaribu kuchakachua yaaani hapo ndio mgogoro utakapoanxia!!
na hapo ndipo tutakapogawana fito
 
Back
Top Bottom