Uchaguzi 2020 Misururu ya Wadhamini wa Tundu Lissu Tarime haijapata kutokea, huyu mtu ana nini lakini?

Watu kumi ndio haijapata kutokea .wanamdhamini mtu asiyekuwepo wala hata rudi
Naamini hata shetani akiona picha hii ataona aibu kusema kuna watu kumi tu hapo, lakini binadamu mwenye wivu na unafiki wa kupitiliza hata macho huwa hayaoni. Hata masikio hayasikii!
 
Ni kweli, mshindani wake ana ushawishi mkubwa sana wa kutumia MTUTU WA BUNDUKI na GENGE LA WASIOJULIKANA, mambo ambayo Lissu hana.
 
Mbona unateseka sana ndugu yangu, nimeuliza swali wewe ulitakiwa ujibu lkn kinyume chake unaleta ngonjera!
We unaona ipo? Hao wanahesabika na wameishako majumbani,
Nadhani akizidisha sana ni miloni moja nchi nzima.
 
Chondechonde chadema, msibadilishe gia angani, nendeni na lissu
 
Mauwaji yataweza kutokea endapo atatangazwa ambaye hakuchaguliwa. Naiona Tanzania mpya, baada ya kumwaga damu. Damu lazima imwagike ndipo ukombozi upatikane. Watu wanaoilinda ccm watakuwa wanaenda kuiba kura huku familia zao zilizopo sehemu mbalimbali kwenye vinyumba vya bati zikichomwa moto. Nawaona watanzania uvumilivu ukiwashinda hasa kutokana na ukosefu wa ajira bila sababu.
 
Mimi nahusikaje na waraka wa Shura ya Maimamu ?
 
Misululu ndio iyo? Hili lichama lina watu hawana akili kabisa. Siasa za kulia lia zishapitwa na wakati hamna mbinu zozote kushawishi watu sahivi.
 
Hata mimi naliwaza hilo kama Tundu atagombea itakuwa balaa uchaguzi wa mwaka huu,tume ikijaribu kuchakachua yaaani hapo ndio mgogoro utakapoanxia!!
na hapo ndipo tutakapogawana fito
 
Misululu ndio iyo? Hili lichama lina watu hawana akili kabisa. Siasa za kulia lia zishapitwa na wakati hamna mbinu zozote kushawishi watu sahivi.
Kama unataka vita subiri baada ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…