Uchaguzi 2020 Misururu ya Wadhamini wa Tundu Lissu Tarime haijapata kutokea, huyu mtu ana nini lakini?

Uchaguzi 2020 Misururu ya Wadhamini wa Tundu Lissu Tarime haijapata kutokea, huyu mtu ana nini lakini?

Tume isingekuwa ya ccm huu uchaguzi ungeiletea Tanzania heshima kubwa sana lkn kwa hii tume yao, hali ya baadaye ya nchi hii itakuwa ya hovyo haijapata kuonekana.
 
Picha kama hiyo mimi naisoma hivi:

Naona waTanzania watulivu kabisa wanaotafuta haki yao ya msingi ya kuwachagua viongozi wao wanaopenda wawaongoze miaka mitano.

Watu hawa watakwenda kupiga kura kutimiza adhma yao hiyo, kwa utulivu bili ya rabsha zozote.

Halafu baada ya hapo, kura hizo kundi la watu wanaamua hazina thamani yoyote, na wala hazihesabiki katika kumpata kiongozi atakayetangazwa.

Ninaishia hapo katika mtiririko huo wa mawazo yangu.

Hapana. Kabla hujanirukia kwa jazba, sijaandika kwamba waTanzania wengine wapo kwenye mistari mingine, nao wametulia kama hawa. Wao pia wanastahiri heshima yao na kama ndio watakuwa wengi kwa kura zao za haki, basi wana haki ya kupata mtu wanayemtaka, nasi sote ambao hatukumpa kura zetu tutaheshimu maamuzi hayo bila ya shari kama ni matokeo ya haki.
Huo ndio ukweli.
 
Ni halali kabisa, Tundu ni mwanasiasa mwenye ushawishi mzuri sema mshindani wake Kutokea CCm yeye ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa mara 10 zaidi yake

Tundu atashindanaaa!! Lakini hatoshinda, ni Nani Kati ya Lowasa na huyo Lisu ayekuwa ni mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi ya mwingine?

Lakini lowasa licha ya kuwa ni mwanasiasa nguli Kwa Magufuli alisalimu amri

Kwa sasa, Tz hii hakuna kama Magufuli
Jipe moyo sema Magufuli bila policcm na vile vyombo vingine hata kura ya mkewe hawezi pata.
 
Upinzani hauwezi kufa kwa bunduki au kukamata viongoz wao, upinzani ni siasa Safi inayojibu matamanio ya wananchi pasipo vitisho,visasi wala matusi na fitina mbalimbali. Kweny siasa Chama tawala ni Chama pinzani dhidi ya Chama pinzani and vice versa!!Hawa wote ili wawini kukubalika wanahitaji siasa Safi na uongozi bora!

Kama kuna Chama kinadhani kitapata wafuasi ama kitaongeza wafuasi Bila siasa Safi kisahau iko siku kitakufa kifo cha mbwa!

Tunahtaji siasa itakayojali utu wetu na haki zetu na si kutupa haki yetu huku utu wetu ukifichwa kwenye viloba hapana!!

Mungu bariki Tanzania mpya itakayojali utu na zetu!!
Na ndipo alipofeli huyu jamaa wa awamu ya tano. Bado haamini anachokiona akifikiri jinsi alivyo tumia nguvu nyeusi( devil forces) kukandamiza upinzani anashindwa kuelewa hawa wapinzani wana roho gani. He will die in his guiltness.
 
Ni halali kabisa, Tundu ni mwanasiasa mwenye ushawishi mzuri sema mshindani wake Kutokea CCm yeye ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa mara 10 zaidi yake

Tundu atashindanaaa!! Lakini hatoshinda, ni Nani Kati ya Lowasa na huyo Lisu ayekuwa ni mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi ya mwingine?

Lakini lowasa licha ya kuwa ni mwanasiasa nguli Kwa Magufuli alisalimu amri

Kwa sasa, Tz hii hakuna kama Magufuli

Dogo una uhakika, lowasa Alishindwa?

Unajua Mke wa raisi mstaafu alimchana jiwe alipo zuia mzigo ya NGO yake pale bandarini akamwambia wewe hukushinda tulikubeba tu. Leo unakuwa jeuri,

Kilichoendelea ni #$@&?::&+*/,,timbwili tukashtukia anateuliwa kuwa mbunge
 
Mauwaji yataweza kutokea endapo atatangazwa ambaye hakuchaguliwa. Naiona Tanzania mpya, baada ya kumwaga damu. Damu lazima imwagike ndipo ukombozi upatikane. Watu wanaoilinda ccm watakuwa wanaenda kuiba kura huku familia zao zilizopo sehemu mbalimbali kwenye vinyumba vya bati zikichomwa moto. Nawaona watanzania uvumilivu ukiwashinda hasa kutokana na ukosefu wa ajira bila sababu.
Nakuona wakala wa shetani ukifanya kazi yako bila mafanikio.
 
Dogo una uhakika, lowasa Alishindwa?

Unajua Mke wa raisi mstaafu alimchana jiwe alipo zuia mzigo ya NGO yake pale bandarini akamwambia wewe hukushinda tulikubeba tu. Leo unakuwa jeuri,

Kilichoendelea ni #$@&?::&+*/,,timbwili tukashtukia anateuliwa kuwa mbunge
Ukimwaga mboga nasi tunamwaga ugali.
 
Dogo una uhakika, lowasa Alishindwa?

Unajua Mke wa raisi mstaafu alimchana jiwe alipo zuia mzigo ya NGO yake pale bandarini akamwambia wewe hukushinda tulikubeba tu. Leo unakuwa jeuri,

Kilichoendelea ni #$@&?::&+*/,,timbwili tukashtukia anateuliwa kuwa mbunge
Kumbe yule Mama ni jasili namna hii.
 
Uzi huu umedhibitisha kuwa nyoka wa kijani hapendwi kabisa na wale watetezi wake wachache hadi wanaona aibu kulitetea hilo joka.

Hongereni sana watanzania wazareeedoo kutoka usingizini kwa kulikataa joka hilo la kijana... Ccm...
 
Back
Top Bottom