Uchaguzi 2020 Misururu ya Wadhamini wa Tundu Lissu Tarime haijapata kutokea, huyu mtu ana nini lakini?

Hali ndio kama mnavyoona ndugu zangu

View attachment 1502951View attachment 1502952

Sina cha kuongeza , wale mnaotaka nyama zaidi endeleeni kula mtori , nyama mtazikuta chini
nina riplai usijekata tamaa tukamis poshti zako muruwa, TL ni hatari anavyokubalika ona haya ni mafuriko kuliko yale ya EL 2015. Pepo's power awamu hii hakuna kubadilisha gia angani? Kuna tetesi mahala yule mwanadiplomasia amempendeza sana mwenyekiti wa SACCOSS
 
Jambo zuri sana, Swali jee hilo linakubalika na wenye chama, na tusisahau hao wanaopanga foleni, ni wagita, wakurya, ama wazanaki, hakuna wachaga huko, maombi yao hayana nguvu ndani ya chama.

Lakini Lissu anastahili kupewa fursa ya kugombea.
Halafu kuna Mwizi mmoja wa Ruzuku anasema kuwa yeye pekee ndiye anayeweza kuongoza Chama wengine wote ni Wasaliti.

Amekalia kiti cha Uenyekiti mpaka kiti kimepinda na kukaribia kuvunjika lakini hataki kuachia kiti.

Bwana yule ameharibu sana kung'ang'ania kiti.
Hakika Mbowe Angeng'atuka na kuwaachia watu wa makabila Mengine kama Chadema ingeaminika sana na wengi wangekimbila Chadema. Hata Wale waliokua ndani ya UKAWA walioondoka CUF wangekimbilia Chadema. Ubinafsi wa Mbowe umesababisha wale wote waliotoka CUF kushindwa kujiunga na Chadema kwa Hofu ya kubaguliwa kikabila.
Mbowe ameharibu sana Mwelekeo mzuri wa Makamanda wa Chadema kuachiana uongozi bila kujali kabila kama ilivyotoka kwa Mtei kuna kwa Bobu Makani japo Mtei alikua mwasisi aliyetumia nguvu zake na rasilimali zake kukijenga chama lakini hakuwa mbinafsi kama Mfanyabiashara ,Mhuni,Mlevi,Mzinzi, tapeli ,mzushi ,msanii ,mkabila,dikteta na mpenda sifa na dharau kwa makamanda wenzake ,yaani DJ Mbowe.

Lisu agombee kupitia Chadema mana anastahili lakini Afanye siasa za Kistarabu kama Lowasa mana watanzania hatutaki kujenga siasa za hovyo.
Tujenge taifa la kistaarabu na Demokrasia ya kweli mpaka wazungu waje wajifunze Afrika mana wazungu wameshaondoka kwenye Demokrasia safi wamebaki na kuchafuana na kukashifiana kama ilivyo kule Marekani.
Turithishe watoto wetu nidhamu na heshma kwa Taifa letu.
 
Ni halali kabisa, Tundu ni mwanasiasa mwenye ushawishi mzuri sema mshindani wake Kutokea CCm yeye ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa mara 10 zaidi yake

Tundu atashindanaaa!! Lakini hatoshinda, ni Nani Kati ya Lowasa na huyo Lisu ayekuwa ni mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi ya mwingine?

Lakini lowasa licha ya kuwa ni mwanasiasa nguli Kwa Magufuli alisalimu amri

Kwa sasa, Tz hii hakuna kama Magufuli
Waambieni wale marobot wanaobeba bunduki wasiingilie ili kieleweke . Oh nimekumbuka remote yao anayo nguli wa inteligensia by in a
 
Halafu kuna Mwizi mmoja wa Ruzuku anasema kuwa yeye pekee ndiye anayeweza kuongoza Chama wengine wote ni Wasaliti.

Amekalia kiti cha Uenyekiti mpaka kiti kimepinda na kukaribia kuvunjika lakini hataki kuachia kiti.

Bwana yule ameharibu sana kung'ang'ania kiti.
Hakika Mbowe Angeng'atuka na kuwaachia watu wa makabila Mengine kama Chadema ingeaminika sana na wengi wangekimbila Chadema. Hata Wale waliokua ndani ya UKAWA walioondoka CUF wangekimbilia Chadema. Ubinafsi wa Mbowe umesababisha wale wote waliotoka CUF kushindwa kujiunga na Chadema kwa Hofu ya kubaguliwa kikabila.
Mbowe ameharibu sana Mwelekeo mzuri wa Makamanda wa Chadema kuachiana uongozi bila kujali kabila kama ilivyotoka kwa Mtei kuna kwa Bobu Makani japo Mtei alikua mwasisi aliyetumia nguvu zake na rasilimali zake kukijenga chama lakini hakuwa mbinafsi kama Mfanyabiashara ,Mhuni,Mlevi,Mzinzi, tapeli ,mzushi ,msanii ,mkabila,dikteta na mpenda sifa na dharau kwa makamanda wenzake ,yaani DJ Mbowe.

Lisu agombee kupitia Chadema mana anastahili lakini Afanye siasa za Kistarabu kama Lowasa mana watanzania hatutaki kujenga siasa za hovyo.
Tujenge taifa la kistaarabu na Demokrasia ya kweli mpaka wazungu waje wajifunze Afrika mana wazungu wameshaondoka kwenye Demokrasia safi wamebaki na kuchafuana na kukashifiana kama ilivyo kule Marekani.
Turithishe watoto wetu nidhamu na heshma kwa Taifa letu.
Mmeshikwa kende na mwaka tunazisaga muwe wagumba ili kizazi Cha mashetani kitoweke Tanzania. Shetani mkuu muuaji anayetumbukiza watu baharini atakufa kwa nguvu ya muumba
 
I wish Mheshimiwa Mkapa angeheshimiwa na chama chake wakamtimizia ombi lake la Tume Huru ya Uchaguzi. Hili jambo lingemwongezea mgombea wa chama tawala sifa kubwa na hata ushindi!
Lakini kutokuwa na Tume huru hata kama ni level tu ya uongozi itawapa watu imani kuwa ccm safari hii hawataiba!
Imagine rushwa iliyotamalaki kwenye kura za maoni tu je kwenye kura halisi itakuwaje?
Tuombe Mungu!!
 
Back
Top Bottom