Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Mkuu

Naona unatuchanganya

Process ya kupima si ndio kupangilia au kupima ni vingine na kupangilia ni vingine?

Sijakuelewa bado
Kupima ni vingine na kupangilia ni vingine.'
Kunakuwa na Town plan ambayo inaingiliana na land ownership.
Unanunua eneo, unapima ki/viwanja halafu unaenda ku-amend.
That's when problems start.
 
Dodoma middle income inakua kwa kasi sana maeneo ni mengi sana ya makazi yameboreka.
 
Basi hupajui songea na hujawahi kufika

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nimecheka hadi nimepaliwa wallah, mie huko ni nyumbani, nimezaliwa, nimekulia, na maisha yangu kiujumla yako kule.
Na nimetoka kule mwez November. Khaaaah.
Hiyo biharamlo itakua umefananisha? Au unasema PERAMIHO.?
 

Mkuu kwahyo kumbe Bukoba na Moshi nazo ni mikoa.
Anyway
Ila kwa Mbeya sehemu ya madoni ni isyesye nasi ulipo taja
 
Aisee kweli ni peramiho nilichanganya

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwahyo kumbe Bukoba na Moshi nazo ni mikoa.
Anyway
Ila kwa Mbeya sehemu ya madoni ni isyesye nasi ulipo taja
Of course Isyesye kwa sasa ndio "Masaki" ya Mbeya. Zamani ilikuwa ni Block T, Sae (Kidogo) na Uzunguni.
 
Dodoma ongezea Kisasa na Kilimani ila hapo kwa Nkuhungu sina uhakika sana.
Nkuhungu kwa kawaida mno.... Miaka kadhaa ijayo kutakuwa hakuna tofauti na Sinza Dar es Salaam. Kila baada ya nyumba tatu Ni Lodge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…