Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Nikajua ww mwanawinchiNina kadi mkuu🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua ww mwanawinchiNina kadi mkuu🤣🤣🤣🤣
Mhh post zako kama huwa una wadiss wekunduHapana mkuu,Mimi mwekundu wa Msimbazi
Endelea kupambana ila Simba ipo sanaaa tuu kuirudisha nyuma haitakaa itokee juna vi upep vinakuja na kupita.. haters andaeni magodoro mlale kabisa mkisubiri anguko lakeTunapambania timu yetu iwe imara
Kawaida tuu mkuu....hasa kwenye tambo za kimpiraUmeongea kwa mihemko sana boss wangu.Relax
Yanga na Simba haziwezi kupotea kwenye ramani.Sema zinapitia changamoto tu ambazo either ni furaha upande wa pili.Kipindi unapitia magumu acha uchekwe kama ulivokuwa unawacheka wenzako.Kawaida tuu mkuu....hasa kwenye tambo za kimpira
Hizi story za kijinga kama zako nilizikuta pale Kkoo,nikawaangalia wanaobishana kuhusu ukwasi wa GSM nikagundua wote pale ni maskini na wajinga wajinga tu wanaosogeza muda pale kisha wakalale.Ni sahihi huwezi shindana na rais wa nchi mwenye mamlaka ya kila kitu ,yeye hutoa order tu.
Gsm ni Zaid ya tunavyoijua .
Huyo mnayemwita boss ni chawa tu,Ila mmiliki wa gsm yupo amekaa pembeni anatucheki tu.
Mo sio fala anajua michezo yote inayochezwa na upande wa pili na anajua akina Nan anapambana nao ,ndio maana kaamua kuwakwepa kidizain maana anajua fika hawez pambana na mamlaka ,mziki wa mamlaka ni mnene unaweza haribu Hadi biashara za familia.
Familia kwanza ,mpira baadae.
Acha kujitoa akili, mkataba ni wa muda gani? Kila mwaka kinaingia kiasi gani? Unadhani pesa zinatolewa kizembe tu!? Mkataba unaweza kuwa mnono lkn mgawanyo wa kiasi kinachoingia kila baada ya muda flani kwa kuzingatia makubaliano ya kimkataba huwa ni issue nyingine.Simba wanamkata na Mbet wa 26B, hizi ni pesa nyingi kuendesha timu!! Hofu je ni kweli hizo pesa zipo au ndio ilikuwa janjajanja yakuonesha Simba imepanda thamani au lah!!. Wacha iendeleee kunyesha....
Anaweza kubaki kama mwanachama na shabiki ila akauza hisa zake.sidhan kama mo ataondoka simba... jamaa ni simba dam dam
Huoni kilichofanyika kwenye uwanja wa mazoezi au unajitoa akili? Ule ukuta kuzunguka eneo lote la uwanja uliujenga wewe!? Muwe mnafatilia mambo kabla ya kupayuka.Tatzo ni uwepo wa viongozi wapigaji mkuu.Unakumbuka mchango wa NANI ZAIDI?Issue ya Uwanja imeishia wapi Italian watu walitoa hela?
Acha kujitoa akili, mkataba ni wa muda gani? Kila mwaka kinaingia kiasi gani? Unadhani pesa zinatolewa kizembe tu!? Mkataba unaweza kuwa mnono lkn mgawanyo wa kiasi kinachoingia kila baada ya muda flani kwa kuzingatia makubaliano ya kimkataba huwa ni issue nyingine.
Igeni walichofanya yanga... Ikiwezekana boresheni..
sidhan kama mo ataondoka simba... jamaa ni simba dam dam
Hakuna kitu unajua.Kwa hiyo ndo project ya uwanja imetekelezwa hivo?Huoni kilichofanyika kwenye uwanja wa mazoezi au unajitoa akili? Ule ukuta kuzunguka eneo lote la uwanja uliujenga wewe!? Muwe mnafatilia mambo kabla ya kupayuka.
Anauza hisa zake za mchongo, cha ajabu zaidi anauza hisa ambazo hakuwai kuzinunua!!?[emoji23][emoji1787]Mo ni tapeli wa kiwango cha SGR.Nani kasema Mo anaondoka Simba?Ametangaza kuondoka?Wacheni uzushi. MO ana makubaliano na Simba kimkataba.Kujiuzulu kwa Barbara ni jambo la kawaida kwenye taasisi. Senzo alijiuzulu Simba na kisha Yanga kulitokea nini?
Mo ni mwanahisa wa Simba na hashiriki kwenye mambo ya kila siku ya Simba.Kuna bodi .Watu wamezoea mtindo wa zamani wadhamini walikuwa wanaondoka wanavyotaka.Zama hizi sio zile.
Nani amekuambia anauza hisa?Umeziona kwenye soko gani la hisa?Udaku ni full time job kwa watanzania. Punguzeni uzushi njooni na facts na source za kuaminika.Anauza hisa zake za mchongo, cha ajabu zaidi anauza hisa ambazo hakuwai kuzinunua!!?[emoji23][emoji1787]Mo ni tapeli wa kiwango cha SGR.
Mtu anauza hisa zake lkn hatuna uhakika kama kweli alitoa zile 20bilion.