Ukiongea hivyo nasisi tutakwambia tuna mwambao wa beaches kwa wakazi O'bay, masaki, Mikocheni, kawe! Tunaongelea walio wengi kwenye viunga vya jiji!Naona wote Ni watu wa daslaam humu weng,Emu njooni Tanga mjionee garden ambazo unaweza ukatulia uka-enjoy upepo na kuwazua mambo yako.
Forodhani garden, garden ya mabanda ya papa,garden iliyopo taifa road mkabala na shule ya old Tanga, garden iliyopo Toyota,nenda jet -raskazone ufumweni Kuna makochi na upepo mwanana.
Tanga Raha, mji umepangika hatarii sidhani Kama Kuna mji unafikia Tanga kwa mpangilio.
Kinachofanya mkutane bar ni ufinyu wa backyard. Ukiwa na eneo kubwa kama mna ishu ya kuongea ya maana hamhitaji kukutana bar. Unafikiri madon huwa wanakutana bar kupanga mbanga zao?Sisi hatuna maeneo ya kukutana na kuongea, mkiwa na miadi lazima mkutane bar na sio kila mtu anapenda kwenda kuongelea bar.
ππππ! Ebu jaribu kuwaza mtu anayeishi manzese!Asubuhi tuu hapa nilikuwa nawaza sehemu ya kwenda kwa ajili ya kukaa pekee yangu hata kwa saa 5 kwa siku nadhani kwa mwezi mzima π mana kuna hali ngumu nnayoipitia kwa sasa hvy nahitaji kuwa pekee yangu.
Nnaishi Manzese sasa huku ni kivumbi, hapa itabidi mpaka niende coco beach.
Ifanyr nyumba yako na backyard ikuvutieHata hivyo nyumbani ni nyumbani ningependa niende sehemu nyingine remote!
Bodaboda wanapaki alafu kuna wale wana MAOMBI wanatumia uwanja kuendeshea maombezi yao ya ibadaSasa hivi maeneo hayo ni either vijiwe vya mateja, au kuna mlinzi wa shule, au akina mama wanauza kachori na vyakula, n.k kwa ufupi sio sehemu rafiki
Mkuu! Nyumbani hata umeweka nini kunaboa! By the way! Sio kila mtu utamleta kwako ingawa unaweza kuwa maongezi muhimu naye! Hapo mpeleke bar hamna namna shehkhe!Kinachofanya mkutane bar ni ufinyu wa backyard. Ukiwa na eneo kubwa kama mna ishu ya maana hamhitaji kukutana bar, backyard inatosha kabisa na kama kunywa mtakunywa na nyoma choma mtatengeneza
Kabisa chief, maeneo ya wazi ya kupumzika yametaifishwa yoteSpace yakupumua na kutafsakuri ni muhimu! Wengi tunaendaga bar
SawaMkuu! Nyumbani hata umeweka nini kunaboa! By the way! Sio kila mtu utamleta kwako ingawa unaweza kuwa maongezi muhimu naye! Hapo mpeleke bar hamna namna shehkhe!
Sure! Lakini vijiwe vya draft kumejaa porojo na mizaa na matusi! Sio sehemu ya staha!Park inatakiwa kuwa kwenye walking distance kutoka kila nyumba. Hivyo kila kata au mtaa inatakiwa kuwa na park. Uroho umefanya tusitenge na tupore maeneo hayo.
Kijiwe cha drafti ni mtoko mzuri sana
Vipanga wetu haoKuna ma genous walikaa wakaona pale panafaa kuwa ofisi za DMDP
Ongera yako huko karibu na ufukwe raha kama zoote! Ukitoka hapo stress zote zimeisha! Mtu huko kinyerezi au tabata utaenda wapi zaid ya bar?Nakaa karibu na baharini, nikiona hovyo naenda ufukweni... Japo nina muda sasa sijaenda huko.
Ikiwa nyakati za jioni nachukua viatu vyangu naenda uwanjani kucheza mpira.
Huwa naenjoy mnoo kucheza na vijana, nikifika wananipokea kwa shangwe, naburudika, najisikia faraja kubwa mnoo.
Mnakaaga pale juu darajani mnatongozanaga. Nyie wakazi wa Kimara mna mambo ya hovyo sanaHapa kimara Mida ya jioni, naenda pale darajani napata upepo kidogo
Umesema vyema mkuuHuwa nawaambia jamaa zangu, pale mbezi..front view ya Magufuli stand pangewekwa Park moja matata sana, pangependeza sana
Kutongozana ni mahali popote tu, sema pale ukikaa kijanja hautoki mtupuMnakaaga pale juu darajana mnatongozanaga. Nyie wakazi wa Kimara mna mambo ya hovyo sana
Wakati niko mbeya block t,udogoni tukitaka kucheza tulikuwa tunaenda ndani ya eneoHuku mbeya tunaenda mitoni au milimani unakaa juu ya mawe ukiyafakari hili na lile, tunabadilisha tu vijiwe