Mitandao inaweza kupata shida usiku huu wakati Polepole anapozungumza lakini akimaliza utaona inarejea kwenye hali yake

Mitandao inaweza kupata shida usiku huu wakati Polepole anapozungumza lakini akimaliza utaona inarejea kwenye hali yake

26 Life

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
828
Reaction score
1,233
Kama ilivyo kawaida kwa tarehe kama hizi ambapo watetea haki za wanyonge wakitaka kuelezea mambo kadha wa kadha ili kufungua fikra za wananchi bhasi Mitandao ya kijamii ambapo mtu anaweza kuaccess live kabisa bila chenga kupata updates kwa hao wapigania haki mambo huwa tofauti kidogo.

Bhasi nafikiri ndugu zangu mjiandae kwa kupambana na hali hii mpaka pale ndugu yetu atakapo maliza kuzungumza.

Nikireport kutoka mkoa unaopendwa na vijana wengi, Mimi ni 26 Life wa Jamii Forums.
 
Back
Top Bottom