Hivi hata ukiweka VPN YouTube inafungukaCcm ******* sana wameshafungia
WameifungiaNaona Facebook haifunguki
naam watu wazembe tu, maneno mengi badala wawashe vpnHivi hata ukiweka VPN YouTube inafunguka
Naona sasa hv jf ipo poaHivi hata ukiweka VPN YouTube inafunguka
hakuna mtandao umefungwa --- maana hana mpya mtaalamu wetu slowslow
View: https://www.youtube.com/live/j6o_QYXLN2I?si=E-z0fMac8D0iRWlN
Acheni vichekesho basi yaani mtandao ufungwe sababu ya pole pole?
vpn mkuuMbona haifunguki.
tunaomba arekodi tu, wakifungua arushe clips.Kama ilivyo kawaida kwa tarehe kama hizi ambapo watetea haki za wanyonge wakitaka kuelezea mambo kadha wa kadha ili kufungua fikra za wananchi bhasi Mitandao ya kijamii ambapo mtu anaweza kuaccess live kabisa bila chenga kupata updates kwa hao wapigania haki mambo huwa tofauti kidogo.
Bhasi nafikiri ndugu zangu mjiandae kwa kupambana na hali hii mpaka pale ndugu yetu atakapo maliza kuzungumza.
Nikireport kutoka mkoa unaopendwa na vijana wengi, Mimi ni 26 Life wa Jamii Forums.
Pole pole mtu wa kwanza Tanzania kutuletea majanga ya kufungiwa YouTube na FacebookNaona sasa hv jf ipo poa