Ukiona watawala waogo jua kwamba kipo wanachokiogopaKama ilivyo kawaida kwa tarehe kama hizi ambapo watetea haki za wanyonge wakitaka kuelezea mambo kadha wa kadha ili kufungua fikra za wananchi bhasi Mitandao ya kijamii ambapo mtu anaweza kuaccess live kabisa bila chenga kupata updates kwa hao wapigania haki mambo huwa tofauti kidogo.
Bhasi nafikiri ndugu zangu mjiandae kwa kupambana na hali hii mpaka pale ndugu yetu atakapo maliza kuzungumza.
Nikireport kutoka mkoa unaopendwa na vijana wengi, Mimi ni 26 Life wa Jamii Forums.