Kweli. WamezimaKama ilivyo kawaida kwa tarehe kama hizi ambapo watetea haki za wanyonge wakitaka kuelezea mambo kadha wa kadha ili kufungua fikra za wananchi bhasi Mitandao ya kijamii ambapo mtu anaweza kuaccess live kabisa bila chenga kupata updates kwa hao wapigania haki mambo huwa tofauti kidogo.
Bhasi nafikiri ndugu zangu mjiandae kwa kupambana na hali hii mpaka pale ndugu yetu atakapo maliza kuzungumza.
Nikireport kutoka mkoa unaopendwa na vijana wengi, Mimi ni 26 Life wa Jamii Forums.
Insta na fb bado?!Bado mkuu.
Hahaaa..Labda TCRA wame ku hack ? Uli sajiri VPN yako TCRA kwa mujibu wa sheria zao 😎
Umetabiri vema sanaKama ilivyo kawaida kwa tarehe kama hizi ambapo watetea haki za wanyonge wakitaka kuelezea mambo kadha wa kadha ili kufungua fikra za wananchi bhasi Mitandao ya kijamii ambapo mtu anaweza kuaccess live kabisa bila chenga kupata updates kwa hao wapigania haki mambo huwa tofauti kidogo.
Bhasi nafikiri ndugu zangu mjiandae kwa kupambana na hali hii mpaka pale ndugu yetu atakapo maliza kuzungumza.
Nikireport kutoka mkoa unaopendwa na vijana wengi, Mimi ni 26 Life wa Jamii Forums.
Wameachia wangese sana ccmMpaka kieleweke.
Mtu akiwa na mawazo kama machawa ya CCM anakuwa mpumbavu daima.Kama ilivyo kawaida kwa tarehe kama hizi ambapo watetea haki za wanyonge wakitaka kuelezea mambo kadha wa kadha ili kufungua fikra za wananchi bhasi Mitandao ya kijamii ambapo mtu anaweza kuaccess live kabisa bila chenga kupata updates kwa hao wapigania haki mambo huwa tofauti kidogo.
Bhasi nafikiri ndugu zangu mjiandae kwa kupambana na hali hii mpaka pale ndugu yetu atakapo maliza kuzungumza.
Nikireport kutoka mkoa unaopendwa na vijana wengi, Mimi ni 26 Life wa Jamii Forums.
Noma sana kiongozi.Mtu akiwa na mawazo kama machawa ya CCM anakuwa mpumbavu daima.
Dunia imeemdelea sana ndo mana hata yale magazeti wanayoyalazimisha yamsifie bi KIREMBWE watu hawasomi sasa hivi.
Unazuiya nisimsikilize mtu live sawa. Si kuna U tube ?