Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
naam, mimi nataka ataje watu majina tu tuweke kumbukumbu basi - haya mengine hata yeye anajua hatoboiImetiki mkuu 😆
naam, mimi nataka ataje watu majina tu tuweke kumbukumbu basi - haya mengine hata yeye anajua hatoboiImetiki mkuu 😆
hakuna mtandao umefungwa --- maana hana mpya mtaalamu wetu slowslow
View: https://www.youtube.com/live/j6o_QYXLN2I?si=E-z0fMac8D0iRWlN
naam, ila kama wakiomba support china mambo yanaweza kuwa magumu kidogo kwa mudaAbarikiwe kichwa kilicho vumbua VPN
Kwa Tanzania ya sasa VPN ni app ya muhimu kwenye simu kama whatsapp vile
namAwataje tu, asiogope.
Asante. Nitarudi humu baadae.Yuko Live.
Mkuu we ni Coder au Dark weber?, wachache sana tunaijua hii.Wahuni hawafiki L.A
View attachment 3426375
YouTube na Facebook havipatikaniKama ilivyo kawaida kwa tarehe kama hizi ambapo watetea haki za wanyonge wakitaka kuelezea mambo kadha wa kadha ili kufungua fikra za wananchi bhasi Mitandao ya kijamii ambapo mtu anaweza kuaccess live kabisa bila chenga kupata updates kwa hao wapigania haki mambo huwa tofauti kidogo.
Bhasi nafikiri ndugu zangu mjiandae kwa kupambana na hali hii mpaka pale ndugu yetu atakapo maliza kuzungumza.
Nikireport kutoka mkoa unaopendwa na vijana wengi, Mimi ni 26 Life wa Jamii Forums.
Alaa ww upo vinginguti unataka kutuchezea akili eti upo LAWahuni hawafiki L.A
View attachment 3426375