Mitandao isikudanganye, watu bado wanaoana na wapenzi waliopigika, wafupi, single mama na hata wenye tabia za hovyo

Mitandao isikudanganye, watu bado wanaoana na wapenzi waliopigika, wafupi, single mama na hata wenye tabia za hovyo

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Mtandaoni kila mtu anadai hawezi date single mama, mwanaume mfupi, asiye na hela, au mchafu. Ila gizani nje ya mtandao single mama wengi wanaolewa kuliko hata wasio na watoto. Wanaume wafupi wenye sura personal wanang'oa pisi kali kuliko masharobaro. Kuna wale wanasema "I cannot date a broke woman" nao ndo huwaoa kabisa.

Cha muhimu fanya kitu kinachokupa amani na furaha ili mradi huvunji sheria za nchi na za Mungu. Kama single mama anakupa furaha ruka naye hakuna tatizo. Kama mwanaume mfupi mweusi, mwenye kitambi asiye na hela anakupa amani moyoni olewa naye. Watu wa mitandaoni wapuuze.
 
Things kwa ground ni vere different! Wanajishaua tu huko nyuma ya keyboard!🫢
Unajua athari za mitandao bado zipo , mtu ana weza fanya yote , akiwa ndani ya mchezo akaona tofauti kidogo tu akihusianisha na ya mitandaoni mambo yana haribika , ndio maana unaona kwenye uhalisia ni vurugu tupu
 
Yani nioe mke wa mtu ? Single mama ?
Wapo wanawqke wengi sana on ground, tena mileage zinasoma chache na hawana watoto!!!!!!!!!

Huyu aliyezaliwa amtafute mgane ndio wataendana
 
Unajua athari za mitandao bado zipo , mtu ana weza fanya yote , akiwa ndani ya mchezo akaona tofauti kidogo tu akihusianisha na ya mitandaoni mambo yana haribika , ndio maana unaona kwenye uhalisia ni vurugu tupu
Leo uko serious sana kijana, kwema?
 
Umejuaje kua hao wanaoponda single mother mitandaoni ndio hao wanao owa single mother huko mitaani?

Umejuaje kua wanawake wanaowaponda mitandaoni wanaume wafupi wenye vitambi,ndio hao hao wanao olewa na wanaume hao huko mitaani?
Hifadhi haya maswali yako nitajibu wakati mwingine.
 
Back
Top Bottom