Mitandao isikudanganye, watu bado wanaoana na wapenzi waliopigika, wafupi, single mama na hata wenye tabia za hovyo

Mitandao isikudanganye, watu bado wanaoana na wapenzi waliopigika, wafupi, single mama na hata wenye tabia za hovyo

Yani nioe mke wa mtu ? Single mama ?
Wapo wanawqke wengi sana on ground, tena mileage zinasoma chache na hawana watoto!!!!!!!!!

Huyu aliyezaliwa amtafute mgane ndio wataendana
Single mama wanaolewa sana tu. Ambao hawaolewi mara nyingi ni waliopigika. Mtu kama Jokate unadhani kuna wanaume wangapi wanaotaka kumuoa?
 
Mialiko ya harusi ipo mingi, watu wanafunga ndoa, waache wanaoendeshwa na mitandao waendelee kubaki bila wenza wakati hata Malapa yanauzwa pair
 
Kuna watu bichwa ngumu sana. Yaan kabisa unaenda kuchukua mke alie tumika kisawa sawa ..bikra haipo bado ana mtoto wa jamaa ukute na kisamvu alishaliwa chuchu ni ndala bado unatoa na mahali na unatuchangisha michango ya ndoa!??ila wanaume tuna roho ngumu aisee,.
 
Kujua akili za watu haihitaji mamlaka bali inahitaji utaalamu wa kumsoma mtu na kugundua hilo,
Hata hili swali lako ulilouliza hapa, pia linathibitisha nilichokisema.
Jomba inawezekana una utapiamlo wa akili. Una tofauti gani na wale wanaotapeliwa kizembe mitandaoni kwa kuamini upuuzi? Una-judge uwezo wa mtu kiakili kupitia commenta za JF?.. Dah nilidhani wewe ni mtu smart kumbe jinga kabisa.
 
Jomba inawezekana una utapiamlo wa akili. Una tofauti gani na wale wanaotapeliwa kizembe mitandaoni kwa kuamini upuuzi? Una-judge uwezo wa mtu kiakili kupitia commenta za JF?.. Dah nilidhani wewe ni mtu smart kumbe jinga kabisa.
Acha ngonjera jibu maswali niliyokuuliza,

Jinsi ulivyo mjinga na usivyo jielewa,unaniambia mimi nina judge akili za watu kwa comment za JF halafu hapo hapo na wewe una judge akili zangu kwa kupitia hizo hizo comment za JF,ndio maana nikakwambia akili huna,huelewi hata unachokiandika.
 
Nitapate. Muhaini mwenzangu
Na waahini Sasa hivi tumeshtuka hatutaki ku** imechapwa Ina muonekano kama konokono tunataka kitu mnato yaani unaichapa inatoa mlio wa kizibo Cha peni inayofunguliwa mfuniko,sio mambo ya fyoko fyoko✌️😁
 
Jamani fanyeni kila aina ya utani ila single mother asipokupa presha atakupa ukimwi ukikukosakosa atakupa mtoto mwingine ambaye sio wako hili ni janga la taifa utakufa kabla ya siku zako
 
Back
Top Bottom