MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Unajua athari za mitandao bado zipo , mtu ana weza fanya yote , akiwa ndani ya mchezo akaona tofauti kidogo tu akihusianisha na ya mitandaoni mambo yana haribika , ndio maana unaona kwenye uhalisia ni vurugu tupuThings kwa ground ni vere different! Wanajishaua tu huko nyuma ya keyboard!🫢
Leo uko serious sana kijana, kwema?Unajua athari za mitandao bado zipo , mtu ana weza fanya yote , akiwa ndani ya mchezo akaona tofauti kidogo tu akihusianisha na ya mitandaoni mambo yana haribika , ndio maana unaona kwenye uhalisia ni vurugu tupu
😁Leo uko serious sana kijana, kwema?
Give what belongs to intelli 🏌🏽♀️Kataa ndoa linda maisha yako
Kataa ndoa linda uhuru wako
Kumbe wako peponi😁Umejuaje kua hao wanaoponda single mother mitandaoni ndio hao wanao owa single mother huko mitaani?
Umejuaje kua wanawake wanaowaponda mitandaoni wanaume wafupi wenye vitambi,ndio hao hao wanao olewa na wanaume hao huko mitaani?
Kweli kabisa.Things kwa ground ni vere different! Wanajishaua tu huko nyuma ya keyboard!🫢
Hifadhi haya maswali yako nitajibu wakati mwingine.Umejuaje kua hao wanaoponda single mother mitandaoni ndio hao wanao owa single mother huko mitaani?
Umejuaje kua wanawake wanaowaponda mitandaoni wanaume wafupi wenye vitambi,ndio hao hao wanao olewa na wanaume hao huko mitaani?
Hapana. Niko kawaida nimeamua kuwasanua wanaobabaika na mitandaoMtoa mada mbona kama umeaandika huu uzii ukiwa na masikitiko makali na huzuni kubwaa??