MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
- Thread starter
-
- #21
Single mama wanaolewa sana tu. Ambao hawaolewi mara nyingi ni waliopigika. Mtu kama Jokate unadhani kuna wanaume wangapi wanaotaka kumuoa?Yani nioe mke wa mtu ? Single mama ?
Wapo wanawqke wengi sana on ground, tena mileage zinasoma chache na hawana watoto!!!!!!!!!
Huyu aliyezaliwa amtafute mgane ndio wataendana
MTafute Abbas Chionda.Nataka single dady aliekataliwa
Sijaelewa point yako ni ipi hapa?Kumbe wako peponi😁
Hawezi jibu hili swali.Umejuaje kua hao wanaoponda single mother mitandaoni ndio hao wanao owa single mother huko mitaani?
Umejuaje kua wanawake wanaowaponda mitandaoni wanaume wafupi wenye vitambi,ndio hao hao wanao olewa na wanaume hao huko mitaani?
Huna uwezo wa kujibu hayo maswali,akili hiyo huna.Hifadhi haya maswali yako nitajibu wakati mwingine.
Wewe umepata wapi mamlaka ya kujua akili za watu?Huna uwezo wa kujibu hayo maswali,akili hiyo huna.
Kujua akili za watu haihitaji mamlaka bali inahitaji utaalamu wa kumsoma mtu na kugundua hilo,Wewe umepata wapi mamlaka ya kujua akili za watu?
Ndo naniMTafute Abbas Chionda.
Jomba inawezekana una utapiamlo wa akili. Una tofauti gani na wale wanaotapeliwa kizembe mitandaoni kwa kuamini upuuzi? Una-judge uwezo wa mtu kiakili kupitia commenta za JF?.. Dah nilidhani wewe ni mtu smart kumbe jinga kabisa.Kujua akili za watu haihitaji mamlaka bali inahitaji utaalamu wa kumsoma mtu na kugundua hilo,
Hata hili swali lako ulilouliza hapa, pia linathibitisha nilichokisema.
Acha ngonjera jibu maswali niliyokuuliza,Jomba inawezekana una utapiamlo wa akili. Una tofauti gani na wale wanaotapeliwa kizembe mitandaoni kwa kuamini upuuzi? Una-judge uwezo wa mtu kiakili kupitia commenta za JF?.. Dah nilidhani wewe ni mtu smart kumbe jinga kabisa.
Na waahini Sasa hivi tumeshtuka hatutaki ku** imechapwa Ina muonekano kama konokono tunataka kitu mnato yaani unaichapa inatoa mlio wa kizibo Cha peni inayofunguliwa mfuniko,sio mambo ya fyoko fyoko✌️😁Nitapate. Muhaini mwenzangu