Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

Fedha za kununua vocha leo hazitumiki. Internet providers leo hakuna kuingiza chapa hivyo serikali kuuhaitapata chochote. Haya twendeni hivyo hivyo.
 
Unakuta s100 katoa bilion za kutosha kwa kazi hii tu majizi yanamtingisha tu . toa hela maIT waingie kazini ilikumzuia polepole.
 
Facebook iko vizuri sijui youtube sijaingia.Pia angalia kama una data
 
Huu n ujinga wanafungia mtandao arf hotuba za PolePole bado zinaendelea kusambazwa, itoshe kusema kuwa tunaongozwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri
 
kama wanabehave irrational namna hii kwa sababu ya kamtu kadogo kama Polepole Je nchi yetu ikivamiwa kijeshi hawa watu kweli wana mental capacity, composure na ustahimilivu wa kupambana na adui kweli?

Nimeanza kupoteza imani kwa huyu mama kuwa hawezi kuwa commander in chief wa kuaminika na kwa kweli haya matukio yanathibitisha kuwa hawezi kuilinda na kuitetea katiba ya nchi. Unawezaje kuminya haki ya taarifa ya mamilioni kwa kumuogopa mtu mdogo kama Polepole?.

Hapana aisee, huyu mama hatoshi!
 
Alikuwa anaenda kuliumbua lipapa la uchumi wetu Lirostam na vikaragosi wake wakiongozwa na JK
si
 
Hivi bado mnatumia mkongo wa TTCL?
 
Pita Botha Rais wa afrika kusini alishaongea akamaliza kuhusu waafrika!!! Sijui aliona nini
 
Polepole anawajambisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…