Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

Tunaishi kama kuku aliyekatwa kichwa
 
Siku ya Uchaguzi watakata hadi umeme na wako peke yao
 
Watu wa siasa msituharibie nchi, hayo matamko achananeni nayo mnatugharimu wote ..Muda huu nataka kujifunza Youtube kumbe mmefungia .
 
Nataka kusoma YouTube haifunguki aisee. Kero kubwa sana
 
Nilizani mie tu hawa wapuuzi wananikosesha pesa bwana kwenye facebook kwa ujinga wao nani anajali upuuzi wao bhana wafungue watu wapost kazi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…