Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

Kama Amiri jeshi mkuu anamuogopa Slowslow namna hii hivi kipindi cha Nduli anavamia laiti huyo mama ndo angekuwa rais si angekimbia Ikulu huyo?

Kama kipindi cha Covid-19 huyu mama angekuwa ndo rais si angetufungia ndani ya majumba kama kuku tukafa kimyakimya?.
 
Nchi ya hovyo sana hii, wale machawa wamuambie mama yao kuwa akili hana yani huyuhuyu Polepole wa kumfanya azime mitandao kwenye nchi ya mamilioni ya watu kweli daah Tanganyika yangu mimi inapotea
Halafu timu ya taifa ina mazanzibari 6 yote yamecheza leo... halafu Lissu mtanganyika anateseka lupango
 
Nchi ya hovyo sana hii, wale machawa wamuambie mama yao kuwa akili hana yani huyuhuyu Polepole wa kumfanya azime mitandao kwenye nchi ya mamilioni ya watu kweli daah Tanganyika yangu mimi inapotea
Hili ni tatizo nchi ikiwa na viongozi viazi
 
CCM ni wepesi sana,basi tu wananchi hatujafikia hatua ya kuamua kuwaondoa
 
Nchi ya hovyo sana hii, wale machawa wamuambie mama yao kuwa akili hana yani huyuhuyu Polepole wa kumfanya azime mitandao kwenye nchi ya mamilioni ya watu kweli daah Tanganyika yangu mimi inapotea
Vipi huko Zanzibar... YouTube na Facebook imefungwa pia!?
 
Great Thinker opinions kiukweli hata mimi nashangaa
 
Km Umeishiwa bando usizushe maupuzi yako humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…