Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

VPN tu as usually hamna namna,washa VPN fanya yako.

Wakishakuwa pale juu wamejaa wajinga wajinga tena akinamama wanaokojoa wamechuchumaa lazima ujue kitakachoendelea zaidi ya mambo ya ajabu ajabu kama haya.
 
VPN tu as usually hamna namna,washa VPN fanya yako.

Wakishakuwa pale juu wamejaa wajinga wajinga tena akinamama wanaokojoa wamechuchumaa lazima ujue kitakachoendelea zaidi ya mambo ya ajabu ajabu kama haya.
Mwanamke hafai kuwa Kiongozi wala kupata nafasi za juu maana wamejaa viburi na hawana karama kabisa....ushenzi wa hii nchi umebaki kwa raia tusio na nguvu wala akili.

OKTOBA TUNALALA
 
Pole.pole.alikua anawachamba maccm wenzie hivyo yule.mzima.mitandao hakuondoka ofisin.
 
Kuna nini nyuma ya pazia kuhusu huyu Humphrey Polepole ambacho TCRA inakiogopa?

Kwanini wanafunga mtandao wa YouTube kila anapotaka kuongea? Leo tena tangia saa 1 usiku hadi saa hizi mtandao huu haupatikani na kuwakosesha watanzania habari mbalimbali za duniani kupitia mtandao huu.

Mbona mnampa umaarufu sana huyu Polepole?
 
Mmezoea umbea tu bora mmedhibitiwa. Ingekuwa press conference ya mambo ya maana kama kilimo na umwagiliaji, mifugo na uvuvi msingesumbuka hivi. Umbea umbea tu na uchawi. Pigweni pini huko.
 
Mwulizieni nesi mwenzio Dr wa Manesi
 
Wahuni sio watu wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…