toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
Mbona ni rahisi tu kujaribu mkuu? Usibishe kika kitu. Mi nimejaribu tundu lissu imegoma, chadema imegoma. Na mimi natumia voda
Mbona ni rahisi tu kujaribu mkuu? Usibishe kika kitu. Mi nimejaribu tundu lissu imegoma, chadema imegoma. Na mimi natumia voda
Labda simu yako ndo imezuiwaWadau nini kimetokea?
Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda....
Jaribu kwa Airtel, Vodacom
View attachment 1610197
Mbona ni rahisi tu kujaribu mkuu? Usibishe kika kitu. Mi nimejaribu tundu lissu imegoma, chadema imegoma. Na mimi natumia voda
Wewe usipende kupinga kitu bila kutafitiHuo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
IMEOMBA RADHI KULIKUWA NA TATIZO KATIKA SIJUI SEVA VILE AU NINI LAKINI WAMEOMBA RADUA NA HUU NDIO UZALENDOWadau nini kimetokea?
Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda....
Jaribu kwa Airtel, Vodacom
View attachment 1610197
Hii mitandao mwisho wao ni pale haki ikidhurumiwa wananchi wakaingia barabarani wataanza nao na pia ITV nayo wameanza kuihujumu chademaWadau nini kimetokea?
Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda....
Jaribu kwa Airtel, Vodacom
View attachment 1610197
Jiridhishe nawe ndugu yangu usiwafokee tu watu bila kujiridhihaView attachment 1610231
Nimetest now airtel haitumi.Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
NI KWELI.Hakuna kitu kama hicho!
Nchi inaenda kupata uhuru upya tarehe 28 toka chato kwa Mkoloni kaburu mweusi na ndipo utawakuwa mwisho wa unyanyasaji uonevu uovu wote uliopo sasaHaya ndio mambo watanzania tulikuwa tunasoma kwenye nchi za madictator huko nje, kwa sasa mambo haya yako rasmi ndani ya nchi yetu! Halafu watu wanasema uchaguzi wetu utakuwa huru hivyo tusiingiliwe na mataifa ya nje. Watawala wanaofaidika na huu mfumo wa kutuburuza, ndio wanasema sisi tuko huru, hivyo tusiingiliwe!
Nilivyoona comment yako imebidi nikajaribuHuo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
Acha uzushiMtandao wote utaenda kuzimwa When Shait hit the fan. trust me
Nimejaribu Kutuma SMS kwenda Kwa wife wangu na nimeona Hali halisi jinsi magufuli alivyokuwa mwoga