toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
Aisee ivi Ujuaji mtaacha lini ? have you tried kuchek ? kuwa basi na akili timamu, as I speak ukituma TUNDU LISSU kwa voda msg haiend hata kidogo ila ukituma John Magufuli inaenda voda ni wasenge sana. Usibishe vitu usivyovijua mkuu. Labda nikwambie kitu kuzuia hayo maneno yasipite kwenye database ya msg ya mitandao ya simu ni jambo dogo tu mzee ni query ya mistari mitatu tu na maneno hayo yanakuwa excluded. Usiwe mjuaji kabla ya kujua