Uchaguzi 2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

Uchaguzi 2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

"We've been conditioned to think that only politicians can solve our problems. But at some point, maybe we will wake up and recognize that it was politicians who created our problems."
~Owomkyalo
 
wakubwa kuna jambo la ajabu sijaelewa ukitumia line ya Vodacom kutuma ujumbe mfupi wa maandishi wenye maneno Tundu Lissu meseji haiendi.

hii maana yake nini?
 
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
Usibishe hebu jaribu uone kama itakwenda. CCM imebanwa mbavu,kila mbinu ovu wanazopanga zinavuja ndiyo uelewe kuwa hata huko jikoni meko hatakiwi
 
Sasa mtu kakwanbia jaribu na ww sio unamtukana ndugu. Yeye kashafanya ndo imetokea ivyo.

By the way nabii isaya kwa heshima na taadhima nakuomba tukampigie kura za ndio Tundu Lisu 28/10/2020.

Ni mtu mkweli ambye uongo kwake mwiko sio Kama mwenyekiti wetu wa CCM mwongo afu hanaga kumbukumbu.

August katuambia kamfukuza gambo sababu ya matumizi mabaya ya ofisi nikazidi kumkubali kwa kuleta heshima kazini. lakini Jana kasema hakumfukuza. Kanivunja moyo sana

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Magufuli Pathological-mentally and physical disease
 
Pia kuna zitto kabwe na Benard membe pia zinakataa
Screenshot_20201024-093922.jpg
 
Samahan ndugu !! Ivi kidato cha Nne ulipata daraja gan ?
Sasa kidato cha nne imeingiajee hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utamuuliza na mock
 
Wadau nini kimetokea?

Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda....

Jaribu kwa Airtel, Vodacom


Wamesh
Wamesharuhusu saivi zinaenda
 
Upinzani ujipange kwa 2025,kwa mwaka huu hawakujipanga na wakiendelea kutanguliza maslai yao binafsi hawatoweza kuishinda CCM.
 
Wadau nini kimetokea?

Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda....

Jaribu kwa Airtel, Vodacom

View attachment 1610197
Mungu anaenda kutimiza kusudio lake kuu mwaka huu mwaka huu. Hila zote za CCM zinafeli vibaya na Tundu Antiphas Lissu anaenda kushinda kwa kiwango cha juu sana uchaguzi wa mwaka huu.

Wasichojua Ccm ni kuwa , kwa kila hila moja wanayofanya dhidi ya Tundu Antiphas Lissu, wanazidi kuongeza mamilioni ya kura kwake hapo wiki ijayo.

Watanzania tumeshaamua mwaka huu, Jumatano tunashika karatasi ya kura na hatuhangaiki, tunaenda mwisho kabisa ya karatasi ya Wagombea Uraisi na kuweka alama ya tiki ( vyema)✅ kwenye kiboksi kilicho wazi mbele ya Picha ya Tundu Antiphas Lissu
 
Don't be naive, uko na simu mkononi, jaribu uone kama hiyo sms itaenda, kisha ndio uje uongee huu upuuzi hapa.
Nimejaribu Kutuma SMS kwenda Kwa wife wangu na nimeona Hali halisi jinsi magufuli alivyokuwa mwoga
 

Attachments

  • Screenshot_2020-10-24-09-45-13.png
    Screenshot_2020-10-24-09-45-13.png
    33.2 KB · Views: 2
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.


Wewe ndio mjinga sasa, umewekewa evidence hapo ila bado unabisha.
 
Back
Top Bottom