Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

Mshahara kodi, vifurushj kodi, bidhaa kodi, miamala kodi na tozo, hakika atuchomoki.

Wanatengeneza tatizo then ukikaribia uchaguzi wanaleta mbinu za kutatua tatizo.

#shame
 
Dikteta kakomba hazina yote ya Nchi,mama Hana jinsi
Na zawadi ya Mercedes Benz saloon la Mzee Ruksa hela uliitoa wewe? Najua kichwani we ni mtupu ngoja nikutengulie kitendawili! Majizi aliyokuwa ameyazibia mbinu JPM sasa yamepata access kupitia kwa SSH, nawahakikishia watanzania hii Kasi ya huyu mama ikiendelea hivi dawa hospitali zitakwisha itabaki chanjo ya Covid tu kutoka kwa Biden
 
Bora Mama aachane na washauri wake na arudi kwa Mumewe achukuwe ushauri wa Mr Hifadh na mtaona Nchi itakua Safi Kama kipindi Cha Mzee Rukhusa!!
 
Dikteta alifilisi Nchi, mama amekuta hazina nyeupe, we jinga huna ujualo kaa kimiya
 
Wiki hii karibia makampuni yote ya Simu yalikuwa yalikuwa yakisambaza jumbe fupi za kuwa kuanzia tarehe 16/8 kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi.

Haikujulikana yangekuwa mabadiliko ya punguzo ama nyongeza ya bei.

Lakini leo asubuhi wakati nimejiandaa kwa mabadiliko hayo ghafla natumiwa jumbe fupi kuwa mabadiliko hayo yamesitishwa mpaka itakapotangazwa tena.

Tunashindwa kupongeza ama kuhoji maana hatukuambiwa ni mabadiliko ya aina gani.

 
Nadhani kampuni zinamake loss kwa sasa.....
 
Hawajiamini na wanayofanya saivi. Ni walitaka kuongeza tozo tu na huko ni vile aibu imewapata. Serikali hovyo kabisa hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshahara kodi, vifurushj kodi, bidhaa kodi, miamala kodi na tozo, hakika atuchomoki.

Wanatengeneza tatizo then ukikaribia uchaguzi wanaleta mbinu za kutatua tatizo.

#shame
Kikundi cha magaidi hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…