Bila ya kuwa na familia imara,huwezi kuwa na taasisi imara kumbuka siku zote hilo nakuambia!!Yaani taasisi ya urais iendeshwe kwa mawazo ya mke na mme? Unajua humu watu ni watupu Sana kichwani mwao,wanadhani nchi Ni familia ,
Una mawazo ya ki Ngono Ngono sana,wapi nilipotaja kitanda!?Ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] sasa hatima ya inchi itakuwa inajadiliwa kitandani?!
Hahahahahah basi tuimbe na kucheza tu wimbo wa malalamikoWale wenye 10,000 sasa hivi wanafanana na mashetani na wao hawana.
HahahaHahahahahah basi tuimbe na kucheza tu wimbo wa malalamiko
We Gavana anajinyea!? wacha utani bhana.Sasa kama yule mbwiga Mwigulu ndio mshauri wake mkuu wa maswala ya uchumi , unategemea nini Gavana naye ndiokabisaaaaa analewa mpaka anakunya kwenye nguo mnategemea nini kwenye nchi ya namna hii, labda Yesu arudi tena ndio kutakuwa na mabadiliko yoyote, Mama amefeli mapemaaaaa
Msoga shamba la Kikwete... Wapi na wapi!? 🤔Tatizo ni msoga.
Hata dira hana,hajui anataka kuipeleka Tanzania wapiHuyu mama anachefua Sana.
Komedi ya kiserekali hii.Kinachoendelea ni hiki View attachment 1893732
😂😂😂Kama mm mkuuNilishajiunga cha mwezi kabisa
Huyu ni mama wa kambo tulie achiwa na Baba m'babeHuyu mama anachefua Sana.
Sisi yetu ni kusema tutamkumbukaTunaishi kama misukule kwasasa.... Tangu mzee baba apate pumziko la milele.... Tumekuwa kama mbuzi tunaosubiri kuchinjwa siku ya tambiko.... It's horrible.
Huku mfuko wa mbolea wa DAP uliokuwa ukinunuliwa 55,000/= sasa hivi ni 105,000/=...
Tatizo liko palepale, wamesitisha vifurushi siyo miamala. Tatizo Ni tozo za miamala.Nahisi wamesoma comments za raia mitandaoni wameona yajayo yanatisha jinsi namna raia walivyowaka na kumind na kujiandaa kutoa mitusi.
So wameona mmmmmmhmn hapa kitanuka tusiwajaribu hawa jamaa.
Halafu kuna Dunia zingine hazina Watu, kama Mars au wangekaa mwezini angalau.ndo mana tuliambiwa tuishi nao kwa akili
kwanini wasingekuwa na dunia yao hawa viumbe waendeshane wenyewe aah wanachosha sana
Bob marley aliimba NO WOMAN NO CRY
Kwa hiyo pesa kazikwa nayo!!??Dikteta kakomba hazina yote ya Nchi,mama Hana jinsi
Ww jinga kabisa huna akili.Dikteta alifilisi Nchi, mama amekuta hazina nyeupe, we jinga huna ujualo kaa kimiya
Ha ha😀Nyumba moja hawawezi kukaa sembuse wapewe sayari si watauwana.