Alifirisi nchi Kisha akajiua au sio?Dikteta alifilisi Nchi, mama amekuta hazina nyeupe, we jinga huna ujualo kaa kimiya
Na mishahara ya wafanyakazi atakopa kwa wafanyabiashara muda si mrefuNa zawadi ya Mercedes Benz saloon la Mzee Ruksa hela uliitoa wewe? Najua kichwani we ni mtupu ngoja nikutengulie kitendawili! Majizi aliyokuwa ameyazibia mbinu JPM sasa yamepata access kupitia kwa SSH, nawahakikishia watanzania hii Kasi ya huyu mama ikiendelea hivi dawa hospitali zitakisa itabaki chanjo ya Covid tu kutoka kwa Biden
Madaraka matamu aachie ngazi nguo atabadili saa ngapi na wanja na lipstick?Yale maneno wanawake wanaweza yashaisha anatia hasira sana ila she is clueless si aachie ngazi jamani
Nishaunga la mwezi mie.Nilikuwa nataka nijiunge bundle la mwezi Leo, yaani tungekutana tena September huko, maphisaoo!
Sema mambo ya 'hii dunia yetu' yanapelekwa kwa kuyumbayumba mno! Mungu atusaidie tu.
Ujinga wake binafsi msiwasingizie wanaomzunguka wao wanaangalia fursa zao.Ila kama huyu sidhani kama ana elements za kuwa sadist. Me nahisi watu wanaomzunguka ni vilaza na pia yeye hana maamuzi sababu it takes more than kuwa mwanasiasa wa chama kuwa raisi. Kuna Extra brain inahitajika katika kuwazua.
Sasa unataka nambia mtu anakosaje maono ya impact ya kupandisha kodi za mafuta, na huduma za mawasiliano in the long run?!
Juzi tu nimenunua kifurushi internet cha Vodacom cha wiki Tsh 5000 kufika jioni naambiwa kifurushi kimeisha, kujaribu Tigo nao hivyo hivyo... Wizi tu.Tunarudi nyuma kama kipindi kile unaweka elfu tano unaongea kwa sekunde shilling tano. Sms unalipia 50 kwa moja.
Una evidences? Share nasiDikteta kakomba hazina yote ya Nchi,mama Hana jinsi
Ni kweli mkuu, ni bora Magufuli angekuwa hai, tungepata unafuuNahisi mama kuna nati haziko sawa kichwani, anayumba sana.
Kaa hivyo ivyo, Samia amekuta hazina nyeupe, mama tunamlaumu bureUna evidences? Share nasi
Ukweli Ni kwamba dikteta amefilisi nchi, Samia hastahili lawama, anapambana kwa kila Hali kuhakikisha fedha inapatikana ya kuendesha Nchi, msukuma mwenzenu kaifirisi NchiWw jinga kabisa huna akili......
We Ni zezeta dada huwezi kuelewa kitu,we fani yako ni hapo kimboka,Kwa hiyo pesa kazikwa nayo!!??
punguza ujinga ww
Aya wacha nikae hivi hivi bila ya evidenceKaa hivyo ivyo, Samia amekutana hazina nyeupe, mama tunamlaumu bure
Hata mi nimeshangaaHeeeeeeee😦
Wamenifanya nimenunua vifurushi vya miezi halafu wakabadili gia anganiNilikuwa nataka nijiunge bundle la mwezi Leo, yaani tungekutana tena September huko, maphisaoo!
Sema mambo ya 'hii dunia yetu' yanapelekwa kwa kuyumbayumba mno! Mungu atusaidie tu.
Mbona hatuongelei swala la kubana matumizi ya serikalini. I mean magari wanayotumia, mishahara na allowances zao mbona huko hatuangalii maana kodi nyingi inakwenda huko na inapotea......Serikali inataka kodi.
Hazina hakuna pesa, miradi ipo mikubwa, wafanyabiashara walishakamuliwa hawana cha kutoa labda uwafilisi wote, deni la taifa ni kubwa, bado nchi inataka maji, umeme, barabara n.k
Ni Kukubaliana tu na hali kama wafanyabiashara waliofungiwa account zao huko nyuma walivyokubaliana na hali.
Tulipe tozo mpaka serikali itakapopata mbadala. Tunataka matajiri waishi kama mashetani halafu katozo kadogo tu tunatoa makamasi.