Mitano tena: Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Ruvuma

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Wilaya ya Mbinga vijijini Mkoani Ruvuma

Mtibabu anakaa hapo chumba cha kwanza.

Ni kiasi gani Samia kaelekeza Ruvuma na kimefanya nini? Huku ni kwao na Waziri wa afya Jenista Muhagama.

Fedha za miradi ya afya ya IMF wajanja wamepiga
 
Ngoja akuone Mchengerwa
 
Tunamshukuru mama kwa kutuletea zahanati hapa Ruvuma.
 
Haya ndiyo maendeleo halisi ya CCM
 
Kura kwa ulefu wa kamba
 
Naona kuna boma nyuma ya hilo jengo, labda ungeelezea vizuri na hilo boma kuliko kuleta uchochezi.

By the zahanati kujenga sio lazima rais bali halmashauri ya wilaya haikosi 50tsh mlns wakajenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…