ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ni kuwa makini sana na uzushi wa Machadema.Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Wilaya ya Mbinga vijijini Mkoani Ruvuma
Mtibabu anakaa hapo chumba cha kwanza.
Ni kiasi gani Samia kaelekeza Ruvuma na kimefanya nini? Huku ni kwao na Waziri wa afya Jenista Muhagama.
Fedha za miradi ya afya ya IMF wajanja wamepiga
View attachment 3114127
Kama ni kweli Je unategemea miaka 3 ya SSH atamaliza shida zote Tanznaia hii?