The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Ngoja akuone Mchengerwa
Mwenye Kifua Kipana ....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja akuone Mchengerwa
CCM waliiba uchaguzi mzima 2020.Kwenye 2,3 CCM Imepoka Nafasi
Na Hakuna Inalofanya
Halafu kuna makatibu wakuu wamejilipa mamilioni kwa kazi ya siku moja. Hii picha aione my favourite Kassim Majaliwa.Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Wilaya ya Mbinga vijijini Mkoani Ruvuma
Mtibabu anakaa hapo chumba cha kwanza.
Ni kiasi gani Samia kaelekeza Ruvuma na kimefanya nini? Huku ni kwao na Waziri wa afya Jenista Muhagama.
Fedha za miradi ya afya ya IMF wajanja wamepiga
View attachment 3114127
Heshimu mila za watu basi! Jifunze namna ya kuwakilisha hoja zako bila kushusha thamani ya mtu/eneo husika. Hapa CHADEMA mnatafuta kura, mkizipata si mtatembea juu ya vichwa vya watu!Wangekuwa na akili wasingalagala kumtukuza mtu badala ya MUNGU wao na huku ni kodi zao, kuna maendeleo gani kusini mpk wafanye ule ujinga waliofanya juzi? mvumilia tuwaambie ukweli mbadilike, muda wa kusifia kijinga haupo.
Una ushahidi, au umeamua tu🤣🤣🤣Huyo ndio mastermind nyuma ya utekaji ili mama mkwe aendelee kushikilia nchi.
Anaogopwa sana na mawaziri na viongozi huko TAMISEMI kwani ni mkwe wa bi. Tozo.
Kwa Ruvuma acha yawakute hawajitambui hata kidogoMuonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Wilaya ya Mbinga vijijini Mkoani Ruvuma
Mtibabu anakaa hapo chumba cha kwanza.
Ni kiasi gani Samia kaelekeza Ruvuma na kimefanya nini? Huku ni kwao na Waziri wa afya Jenista Muhagama.
Fedha za miradi ya afya ya IMF wajanja wamepiga
View attachment 3114127
Akitekwa shauri yake.Ngoja akuone Mchengerwa
Hii aibuMuonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Wilaya ya Mbinga vijijini Mkoani Ruvuma
Mtibabu anakaa hapo chumba cha kwanza.
Ni kiasi gani Samia kaelekeza Ruvuma na kimefanya nini? Huku ni kwao na Waziri wa afya Jenista Muhagama.
Fedha za miradi ya afya ya IMF wajanja wamepiga
View attachment 3114127