Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Mkuu picha husema zaidi ya maana elfu moja!! Ili kujibu hoja weka picha ya zahanati mpya ya eneo hilo. Mambo ya mipango achana nayo!!!Fedha gani zilizopigwa kiongozi? Jitahidi kuongea kwa ushahidi kwa kusema kiasi, mradi fedha zilizotolewa n.k. Lakini unapokuja na picha moja unatia mashaka zahanati ni nyingi kiongozi au maana yako zote ziko vizuri kasoro hii moja? Umejaribu kuuliza mipango iliyopo juu ya zahanati hii au umekurupuka tu kuanzisha mada? Kuna kazi nyingi za kufanya Mkuu, achana na uchochezi!