MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hao UWT unaowatukana daily ndo huwa wanapiga kura kwa wingi kuiadhibu CHADEMA. Ukiweza kutowadharau wanawake hata hiyo tabia yako utaweza kuacha.UWT ndiyo hamna akili Lisu ni kiongozi wa chama na alipigwa risasi na kwa maelekezo ya viongozi wa CCM wakiongozwa na Makonda kwa mujibu wa Lisu mwenyewe