Mkuu picha husema zaidi ya maana elfu moja!! Ili kujibu hoja weka picha ya zahanati mpya ya eneo hilo. Mambo ya mipango achana nayo!!!Fedha gani zilizopigwa kiongozi? Jitahidi kuongea kwa ushahidi kwa kusema kiasi, mradi fedha zilizotolewa n.k. Lakini unapokuja na picha moja unatia mashaka zahanati ni nyingi kiongozi au maana yako zote ziko vizuri kasoro hii moja? Umejaribu kuuliza mipango iliyopo juu ya zahanati hii au umekurupuka tu kuanzisha mada? Kuna kazi nyingi za kufanya Mkuu, achana na uchochezi!
Hakuna mikoa masikini na ya watu wajinga kama Ruvuma, Lindi, Mtwara na Songea, hao walilipwa na Jenister MhagamaKwani si juzi tu apa amemaliza ziara ya kikazi mkoani humo hadi wengine wakagalagala kwa kumshukuru, ina maana hakuiona hii hali kweli?
Mama alisema kuwa hizi ni picha za zamani!!!Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Wilaya ya Mbinga vijijini Mkoani Ruvuma
Mtibabu anakaa hapo chumba cha kwanza.
Ni kiasi gani Samia kaelekeza Ruvuma na kimefanya nini? Huku ni kwao na Waziri wa afya Jenista Muhagama.
Fedha za miradi ya afya ya IMF wajanja wamepiga
View attachment 3114127
Kwenye hiyo picha hauonekani?!Upo wapi huo muonekano
Huku mama akichangiwa zaidi ya billion kwa ajili ya kuchukua fomu ya urais ambayo haizid hata million tanoHuku nyie mkichangisha maskini kumnunulia tajiri Lissu gari la kifahari. CHADEMA is the worst political party in Tz
Afu anapona vile vile!Kabisa mtu unaumwa unaenda kutibiwa hapo?
Kuitetea ccm inabidi ujitoe ufahamu haswaMkuu picha husema zaidi ya maana elfu moja!! Ili kujibu hoja weka picha ya zahanati mpya ya eneo hilo. Mambo ya mipango achana nayo!!!
Nakubaliana na ww mkuu, na ni ngome kubwa sana kwao. Cha ajabu sasa maendeleo wanapelekewa kimkakati.Hakuna mikoa masikini na ya watu wajinga kama Ruvuma, Lindi, Mtwara na Songea, hao walilipwa na Jenister Mhagama
Tema mate chini we jamaa..puuuh!Bora kuishi Gaza kuliko huko
Figa hahahahahMuonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Wilaya ya Mbinga vijijini Mkoani Ruvuma
Mtibabu anakaa hapo chumba cha kwanza.
Ni kiasi gani Samia kaelekeza Ruvuma na kimefanya nini? Huku ni kwao na Waziri wa afya Jenista Muhagama.
Fedha za miradi ya afya ya IMF wajanja wamepiga
View attachment 3114127
Napafahamu ndiyo maana hata Mkapa hakukulia kusini muda mwingi alikuwa kaskazini kwa watu wenye akili kubwaNakubaliana na ww mkuu, na ni ngome kubwa sana kwao. Cha ajabu sasa maendeleo wanapelekewa kimkakati.
Wewe ndio upo eneo hilo, ni lazima kulinganisha unapoongea la sivyo unakua mzushi. Una maana gani kusrma tuachane na mipango, hutaki iwepo? Kama ipo kwenye bajeti ya ujenzi 2024/25 iondolewe?Mkuu picha husema zaidi ya maana elfu moja!! Ili kujibu hoja weka picha ya zahanati mpya ya eneo hilo. Mambo ya mipango achana nayo!!!
Kwanza lazima uwe chizi ndiyo utetee CCMKuitetea ccm inabidi ujitoe ufahamu haswa
Acha propaganda za kutenga watu kikanda. Huko kaskazini walichanga wakajenga wenyewe. Kusini ni akili ndogo? Tuna uhuru wa kuandika lakini tafakari kabla ya kupost, fahamu kwamba humu wanasoma Watanzania wote ambao kwa namna moja ama nyingine wana mchango wao katika maendeleo ya Taifa kwa ujumla.Napafahamu ndiyo maana hata Mkapa hakukulia kusini muda mwingi alikuwa kaskazini kwa watu wenye akili kubwa
Wangekuwa na akili wasingalagala kumtukuza mtu badala ya MUNGU wao na huku ni kodi zao, kuna maendeleo gani kusini mpk wafanye ule ujinga waliofanya juzi? mvumilia tuwaambie ukweli mbadilike, muda wa kusifia kijinga haupo.Acha propaganda za kutenga watu kikanda. Huko kaskazini walichanga wakajenga wenyewe. Kusini ni akili ndogo? Tuna uhuru wa kuandika lakini tafakari kabla ya kupost, fahamu kwamba humu wanasoma Watanzania wote ambao kwa namna moja ama nyingine wana mchango wao katika maendeleo ya Taifa kwa ujumla.
Ukipiga picha randomly zahanati angalau 10 za Jimbo hilo, ni ngapi zitakuwa kwenye Hali kama hiyo mkuu? Kuna kitu nimewaza!Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Wilaya ya Mbinga vijijini Mkoani Ruvuma
Mtibabu anakaa hapo chumba cha kwanza.
Ni kiasi gani Samia kaelekeza Ruvuma na kimefanya nini? Huku ni kwao na Waziri wa afya Jenista Muhagama.
Fedha za miradi ya afya ya IMF wajanja wamepiga
View attachment 3114127
🤔Huyo ndio mastermind nyuma ya utekaji ili mama mkwe aendelee kushikilia nchi.
Anaogopwa sana na mawaziri na viongozi huko TAMISEMI kwani ni mkwe wa bi. Tozo.