Mitano tena: Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Ruvuma

Ni kuwa makini sana na uzushi wa Machadema.

Kama ni kweli Je unategemea miaka 3 ya SSH atamaliza shida zote Tanznaia hii?
 
Ukipiga picha randomly zahanati angalau 10 za Jimbo hilo, ni ngapi zitakuwa kwenye Hali kama hiyo mkuu? Kuna kitu nimewaza!
Mkuu zingekuwepo za kujibia hii hoja zingekuwa zimewekwa!! Hazipo na hiyo ndio hali halisi.

Hii ni mbinu ya kimkakati ya upinzani na raia wema ya kuiwajibisha serikali na chama tawala kuelekea uchaguzi wa mwaka huu na mwaka ujao!!

Ikitumika vizuri inapindua meza, Kazi iendelee!!!
 
Halafu mbunge wao na waziri wa afya anagaragara kwenye mavumbi kama mlevi wa mataputapu kusifia ujinga
 
Halafu mbunge wao na waziri wa afya anagaragara kwenye mavumbi kama mlevi wa mataputapu kusifia ujinga
 
Lipo kwani hapo?

Tuletee wewe picha ya jengo jipya jirani na hiloπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
muulize huyo mpotoshaji, jengo liliokua nyuma yake mbona hakulipiga picha?

au anadhani ni kituo kipya cha SGR na hakuna reli?πŸ’
 
Ofisi kama hiyo mshahara unaweza kuwa shs ngapi hivi πŸ˜„
 
Duuh Ina maana hizi ajiraza afya za juzi watu walivyosokotwa vile ndio unaishia kutupwa hapo ukafanye kazi kweli? CCM muwe na huruma aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…