Mitano tena: Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Ruvuma

Kwenye 2,3 CCM Imepoka Nafasi
Na Hakuna Inalofanya
CCM waliiba uchaguzi mzima 2020.

Bunge limejaa CCM, mawaziri ni CCM , na serikali kuu na za mitaa ni CCM maana hata uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 waliiba .

Hivyo namba 1 ,2,3 wamehodhi wao sasa unajiuliza nini kinawakwamisha hadi zahanati iko kama dumping site.
 
Inabidi tuanze mchango wenyewe sasa bila kuwasubiri hao wanaogaragara
Hizi ndio sadaka za kudumu hata tukifa bado zitakuwepo
Haya naanza na 1m
 
Kodi zenu zinanunulia magoli ya Simba na Yanga,nyie mtajijua wenyewe.
 
Halafu kuna makatibu wakuu wamejilipa mamilioni kwa kazi ya siku moja. Hii picha aione my favourite Kassim Majaliwa.
 
Wangekuwa na akili wasingalagala kumtukuza mtu badala ya MUNGU wao na huku ni kodi zao, kuna maendeleo gani kusini mpk wafanye ule ujinga waliofanya juzi? mvumilia tuwaambie ukweli mbadilike, muda wa kusifia kijinga haupo.
Heshimu mila za watu basi! Jifunze namna ya kuwakilisha hoja zako bila kushusha thamani ya mtu/eneo husika. Hapa CHADEMA mnatafuta kura, mkizipata si mtatembea juu ya vichwa vya watu!
 
Kwa Ruvuma acha yawakute hawajitambui hata kidogo
 
Hii aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…