Anajua anachokifanya mama wa watu. Sasa hivi nchi iko shwali na uchumi juu. Kila mtanzania ana enjoy. No kutekwa tenaMitego ya kununua magoli iwakamate wajinga over.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajua anachokifanya mama wa watu. Sasa hivi nchi iko shwali na uchumi juu. Kila mtanzania ana enjoy. No kutekwa tenaMitego ya kununua magoli iwakamate wajinga over.
Kuteseka hakuwezi kuisha na serikali haiwezi kuingiza mifukoni mwa kila raia wake pesa kwa kadri ya mahitaji yake ya kila siku.Kama million 20 ni kitu gani mbona kuna raia wanateseka laki 1 ya vipimo hospitali za umma?
Wapuuzi wa aina yake wamejaa humu JF.Acha ujinga Broo tafuta hela kulialia hovyo hauwezi kuuonewa huruma na umasikini wako ni WA peke yako
Tupo milioni 64 hakuna namna Rais SSH anaweza kupeleka pesa kwa uhitaji wa watu wengi.Hakuna aliyesema anataka apewe pesa nilichosema ni kwamba apeleke pesa kwenye uhitaji ambako watafaidika wananchi wengi zaidi, bado kuna mambo mengi ya muhimu zaidi yenye kuhitaji pesa na yanawagusa wananchi wengi.
Ila kama unaona Rais kujipa kazi ya kukuza soka kwa muendelezo wa kugawa pesa kwa wachezaji na kwamba ndio kunakuza soka basi sawa naheshimu mtazamo wako.
Wanashindwa kuelewa maisha hayana huruma na mtuWapuuzi wa aina yake wamejaa humu JF.
Unazungumzia mashabiki tena kwani hizo hela zinagawiwa kwa mashabiki?Tupo milioni 64 hakuna namna Rais SSH anaweza kupeleka pesa kwa uhitaji wa watu wengi.
Yanga ina mashabiki zaidi ya milioni 20 nchi nzima, akiwapa milioni 5 kwa kila goli hajapeleka pesa kwa watu wengi?.
Mkuu unaongea kama hii nchi ni katika nchi zilizoendelea kumbe bado tunaangaika na mashimo ya vyoo.Kuteseka hakuwezi kuisha na serikali haiwezi kuingiza mifukoni mwa kila raia wake pesa kwa kadri ya mahitaji yake ya kila siku.
Nongwa za kijinga kuhoji milioni tano wakati tunaiona kazi ya ujenzi wa njia za mwendokasi. Treni ya SGR inajengwa kuanzia Dar mpaka Kigoma, ni aibu kwa raia kuhoji milioni 20 za goli la Mama wakati trilioni 10 inajenga reli muda huu.
Tupunguze huu ushamba wa kupenda kulalamika hovyo.
Mimi siwezi kudanganywa na huu upumbafu wa huyu ni Kizimkazi!Njaa ni yeye anayo mkuu ..maisha haya hatuezi wote tukawa na njaa
Au wote tukawa na pesa
Kifupi: Simba na Yanga ni miradi ya kisiasa, ukilijua hilo hautapoteza muda wako kushabikia hizo team.Sijui mantiki au logic ya kununua magoli ni ipi, ila ninacho jua kuna makumi kwa maelefu ya Watanzania wanataabika sana mtaani unaweza zania nchi haijapata uhuru, Raia wanaaugulia majumbani hawana pesa ya vipumo vya hospitali, ambako unakuta kipimo kimoja ni zaidi ya laki na mtu hana kwa sababu ya umasikini mkubwa sana na ambao walio sababisha ni hao hao wanao nunua Magoli ya Yanga na Simba.
Mpira wa miguu hasa haya mambo ya Yanga na Simmba yanatumika kisiasa kuhafaa wajinga wa hili Taifa, hadi too much.
Huwezu Raisi ukawa unanunua starehe ilihali raia wako wana hali mbaya sana mtaani, Raia wanatembeza fomu za michango ya kutibiwa Raisi anagawa bulungutu za pesa za Magoli na wajinga sisi tunashangilia kwa sababu tu wanao teseka watajijua wenyewe.
Ukiachana na Wagonjwa kuna shule kibao za Serikali yaani unaweza zania ni magofu ya kambi za maaskari wa vita ya Veitnam. Madarasa kama mabanda ya kufugia mbuzi na mkuu wa nchi anagawa pesa uwanjani
Magari ya Kubeba wagonjwa ni hadi raia ndugu jamaa na marafiki wajichange kumbuka gari ni STK na zimenunuluwa kwa kodi na stilli raia wanakamuliwa kwa kisingizio hakuna bajeti ya mafuta huku Raisi akinunua Magoli.
Nenda Police Gari za police unaambiwa hazina mafuta toa pesa ya mafuta mtuhumiwa wako akakamatwe yaani Raia ndio inabidi atoe pesa ya mafuta kuwezesha Police kwenda kukamata mtuhumiwa,Raisi ananunua Magoli ya Yanga na Simba.
Mimi ni Yanga na sisapoti huu ujinga na hakuna hata siku moja nitaingia kwenye huu mtego wa kutega wajinga wa hili Taifa kwa kununua Magoli ilihali Raia wanataabika sana mitaani.
Mitego hii ya kununua magoli iwakamate wajinga wa hili Taifa tu.
Station za redio zinatumia kodi yako!? Wale ni wafanyabiashara, wanafanya kile kitachowaletea faida na huna mamlaka ya kuwapangia ilimradi wasivunje sheria za nchi tu. Tuzungumzie kodi zetu zinazotapanywa ovyo.Usisahau pia na station za radio kutangaza mipira na kamali vipindi vyote vitatu asubuhi,mchana,jioni
Eti kama ambavyo kaukuza sasahivi! Acha kuandika upuuzi, team zetu zimeanza kufanya vzr kabla huyo mtu wako hajashika madaraka. Simba wametinga robo mara kadhaa akiwa si rais so acha kuhusianisha utapanyaji wa kodi na maendeleo ya mpira wa miguu nchini.Kuwapelekea pesa wachwzaji ni motivation ili mpira ukue tz kama ambavyo kaukuza sasa hivi. Mpira ni source ya uchumi kwa kupitia utalii na uwekezaji pia. Wachezaji wanakatwa kodi. Sasa akikuletea pesa wewe una msaada gani zaidi ya kulewea tu
Nani kakwmabia michezo inainuliwa hivyo!? Huo ni utapanyaji wa kodisioni tatizo mama akiinua michezo
We ni wa kupuuzwa, hujawahi kujitambua...subiri vijito vya pombe akhera tu.Kwa ghio pesa za magoli ndio zitafanya yote hayo uliyoandika?
Punguwani wahed.
We kilaza sana.usiposoma wewe na watoto wako hawasomi?na matibabu je?nyie watu mliponaje wakati ule wa Gharika?Acha ushamba weee matatizo ya nchi yasifanye tusi enjoy
Kila ela tukimbize hospital na shule aya SS wazima na tusiosoma je?
Hata nyumban kuna mda ada unakosa ila haikufanyi kutowanunulia wanao nguo na chakula kizur
Unaishi nchi ipi wewe!?Anajua anachokifanya mama wa watu. Sasa hivi nchi iko shwali na uchumi juu. Kila mtanzania ana enjoy. No kutekwa tena
Familia yako utakua unaitesa kama una mawazo ya kijinga hiviWe kilaza sana.usiposoma wewe na watoto wako hawasomi?na matibabu je?nyie watu mliponaje wakati ule wa Gharika?