Mitego ya Rais ya kununua Magoli iwakamate wajinga wa hili Taifa tu. Mimi siwezi kamatwa kamwe

Mitego ya Rais ya kununua Magoli iwakamate wajinga wa hili Taifa tu. Mimi siwezi kamatwa kamwe

Kama million 20 ni kitu gani mbona kuna raia wanateseka laki 1 ya vipimo hospitali za umma?
Kuteseka hakuwezi kuisha na serikali haiwezi kuingiza mifukoni mwa kila raia wake pesa kwa kadri ya mahitaji yake ya kila siku.

Nongwa za kijinga kuhoji milioni tano wakati tunaiona kazi ya ujenzi wa njia za mwendokasi. Treni ya SGR inajengwa kuanzia Dar mpaka Kigoma, ni aibu kwa raia kuhoji milioni 20 za goli la Mama wakati trilioni 10 inajenga reli muda huu.

Tupunguze huu ushamba wa kupenda kulalamika hovyo.
 
Hakuna aliyesema anataka apewe pesa nilichosema ni kwamba apeleke pesa kwenye uhitaji ambako watafaidika wananchi wengi zaidi, bado kuna mambo mengi ya muhimu zaidi yenye kuhitaji pesa na yanawagusa wananchi wengi.

Ila kama unaona Rais kujipa kazi ya kukuza soka kwa muendelezo wa kugawa pesa kwa wachezaji na kwamba ndio kunakuza soka basi sawa naheshimu mtazamo wako.
Tupo milioni 64 hakuna namna Rais SSH anaweza kupeleka pesa kwa uhitaji wa watu wengi.

Yanga ina mashabiki zaidi ya milioni 20 nchi nzima, akiwapa milioni 5 kwa kila goli hajapeleka pesa kwa watu wengi?.
 
Tupo milioni 64 hakuna namna Rais SSH anaweza kupeleka pesa kwa uhitaji wa watu wengi.

Yanga ina mashabiki zaidi ya milioni 20 nchi nzima, akiwapa milioni 5 kwa kila goli hajapeleka pesa kwa watu wengi?.
Unazungumzia mashabiki tena kwani hizo hela zinagawiwa kwa mashabiki?
Kugawa hela kwa kwa simba na yanga inachangia nini kwenye soka la Bongo? Bora hizo hela angezitumia katika kufanya mambo ambayo yatasaidia kukuza soka au michezo kwa ujumla kuliko hivyo anavyofanya ambavyo ni kwa sababu za kisiasa zaidi.
 
Kuteseka hakuwezi kuisha na serikali haiwezi kuingiza mifukoni mwa kila raia wake pesa kwa kadri ya mahitaji yake ya kila siku.

Nongwa za kijinga kuhoji milioni tano wakati tunaiona kazi ya ujenzi wa njia za mwendokasi. Treni ya SGR inajengwa kuanzia Dar mpaka Kigoma, ni aibu kwa raia kuhoji milioni 20 za goli la Mama wakati trilioni 10 inajenga reli muda huu.

Tupunguze huu ushamba wa kupenda kulalamika hovyo.
Mkuu unaongea kama hii nchi ni katika nchi zilizoendelea kumbe bado tunaangaika na mashimo ya vyoo.
 
Sijui mantiki au logic ya kununua magoli ni ipi, ila ninacho jua kuna makumi kwa maelefu ya Watanzania wanataabika sana mtaani unaweza zania nchi haijapata uhuru, Raia wanaaugulia majumbani hawana pesa ya vipumo vya hospitali, ambako unakuta kipimo kimoja ni zaidi ya laki na mtu hana kwa sababu ya umasikini mkubwa sana na ambao walio sababisha ni hao hao wanao nunua Magoli ya Yanga na Simba.

Mpira wa miguu hasa haya mambo ya Yanga na Simmba yanatumika kisiasa kuhafaa wajinga wa hili Taifa, hadi too much.

Huwezu Raisi ukawa unanunua starehe ilihali raia wako wana hali mbaya sana mtaani, Raia wanatembeza fomu za michango ya kutibiwa Raisi anagawa bulungutu za pesa za Magoli na wajinga sisi tunashangilia kwa sababu tu wanao teseka watajijua wenyewe.

Ukiachana na Wagonjwa kuna shule kibao za Serikali yaani unaweza zania ni magofu ya kambi za maaskari wa vita ya Veitnam. Madarasa kama mabanda ya kufugia mbuzi na mkuu wa nchi anagawa pesa uwanjani

Magari ya Kubeba wagonjwa ni hadi raia ndugu jamaa na marafiki wajichange kumbuka gari ni STK na zimenunuluwa kwa kodi na stilli raia wanakamuliwa kwa kisingizio hakuna bajeti ya mafuta huku Raisi akinunua Magoli.

Nenda Police Gari za police unaambiwa hazina mafuta toa pesa ya mafuta mtuhumiwa wako akakamatwe yaani Raia ndio inabidi atoe pesa ya mafuta kuwezesha Police kwenda kukamata mtuhumiwa,Raisi ananunua Magoli ya Yanga na Simba.

Mimi ni Yanga na sisapoti huu ujinga na hakuna hata siku moja nitaingia kwenye huu mtego wa kutega wajinga wa hili Taifa kwa kununua Magoli ilihali Raia wanataabika sana mitaani.

Mitego hii ya kununua magoli iwakamate wajinga wa hili Taifa tu.
Kifupi: Simba na Yanga ni miradi ya kisiasa, ukilijua hilo hautapoteza muda wako kushabikia hizo team.
 
Usisahau pia na station za radio kutangaza mipira na kamali vipindi vyote vitatu asubuhi,mchana,jioni
Station za redio zinatumia kodi yako!? Wale ni wafanyabiashara, wanafanya kile kitachowaletea faida na huna mamlaka ya kuwapangia ilimradi wasivunje sheria za nchi tu. Tuzungumzie kodi zetu zinazotapanywa ovyo.
 
Kuwapelekea pesa wachwzaji ni motivation ili mpira ukue tz kama ambavyo kaukuza sasa hivi. Mpira ni source ya uchumi kwa kupitia utalii na uwekezaji pia. Wachezaji wanakatwa kodi. Sasa akikuletea pesa wewe una msaada gani zaidi ya kulewea tu
Eti kama ambavyo kaukuza sasahivi! Acha kuandika upuuzi, team zetu zimeanza kufanya vzr kabla huyo mtu wako hajashika madaraka. Simba wametinga robo mara kadhaa akiwa si rais so acha kuhusianisha utapanyaji wa kodi na maendeleo ya mpira wa miguu nchini.
 
Acha ushamba weee matatizo ya nchi yasifanye tusi enjoy
Kila ela tukimbize hospital na shule aya SS wazima na tusiosoma je?
Hata nyumban kuna mda ada unakosa ila haikufanyi kutowanunulia wanao nguo na chakula kizur
We kilaza sana.usiposoma wewe na watoto wako hawasomi?na matibabu je?nyie watu mliponaje wakati ule wa Gharika?
 
We kilaza sana.usiposoma wewe na watoto wako hawasomi?na matibabu je?nyie watu mliponaje wakati ule wa Gharika?
Familia yako utakua unaitesa kama una mawazo ya kijinga hivi
Nyie ndio mpk watoto wenu wanawachukia na kuja kuwatelekeza ukubwani
 
Back
Top Bottom