Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #21
Nashukuru sana mkuu.Ngoja nisaidie mtoa mada kufanya watu wamwelewe.
Yaani anamaanisha kuwa mti huinyonya dunia (ardhi) katika ukuaji wake kwenda juu. Kama mti utakuwa na uzito wa tani 8 hivyo utakuwa umechukua tani nane ya udogo toka uliposimamia. Nikama jengo la tani 8 ili lijengwe litasababisha shimo kwa ajiri ya udongo huo wa tani nane ulipotoka. Sasa swali lake ni kuwa. Mti umechukua tani nane duniani ukazipandisha juu kama wajenzi wa majengo wafanyavyo. Je yale mashimo ya hiyo sehemu inayonyonywa na miti mbona hatuyaoni. Je mti hupata malighafi kutoka mbali na eneo ulipo kama majengo ya mjini yananyosombewa mchanga na magari toka mtoni ili yasimame hapo nyerere road?
Mkuu umeeleza vizuri sana..ww kama sio Mwalimu, basi ni Pastor!!Ngoja nisaidie mtoa mada kufanya watu wamwelewe.
Yaani anamaanisha kuwa mti huinyonya dunia (ardhi) katika ukuaji wake kwenda juu. Kama mti utakuwa na uzito wa tani 8 hivyo utakuwa umechukua tani nane ya udogo toka uliposimamia. Nikama jengo la tani 8 ili lijengwe litasababisha shimo kwa ajiri ya udongo huo wa tani nane ulipotoka. Sasa swali lake ni kuwa. Mti umechukua tani nane duniani ukazipandisha juu kama wajenzi wa majengo wafanyavyo. Je yale mashimo ya hiyo sehemu inayonyonywa na miti mbona hatuyaoni. Je mti hupata malighafi kutoka mbali na eneo ulipo kama majengo ya mjini yananyosombewa mchanga na magari toka mtoni ili yasimame hapo nyerere road?
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba unajaribu kufananisha ujazo/ukubwa wa shimo la mti mkubwa na kitu kilichojengwa na binadamu. Mti unatumia mizizi kuweza kusimama na hiyo mizizi inaota kwa kulala si kwa kwenda chini sana ni tofauti na jinsi binadamu tunavyojenga, sisi inabidi kuwe na shimo refu kwenda chini kuweka msingi wa kile tunachojenga. Mti ni kiumbe chenye mfumo unaoweza kutafuta njia bora zaidi ya kusimama ardhini. Kwa utafiti mdogo nilofanya mtandoni unaonyesha kwa miaka mingi wanasayansi wamekuwa wakichunguza miti ili kuweza kuelewa zaidi njia bora za kusafirisha maji na hata kusimamisha majengo. Natamani wataalamu wa Architecture na Civil Engineering wangetupia jicho hapa ili kuendeleza huu mjadala.Sasa mbona unapotoka hatuoni shimo? Maana unatengeneza mzizi huko chini na kuinua shina kubwa huku juu. Tulitegemea ile ujazo
na hasa uzito wa shina, kuwe na shimo lenye ujazo/uzito kama huo chini pale.
Mizizi.Habari wakuu sana. Eti wakuu. Miti inakuwa kutoka wapi? Mbona unakuta mti mkubwa sana. Una kilo hata milioni moja(ukiwa mkavu), lakini pale ulipotoka hatuoni kama kuna kilo milioni moja zimetoka. Mti unatoka wapi?
View attachment 2417960View attachment 2417961View attachment 2417962View attachment 2417963View attachment 2417965
Miti ni viumbe hai tu kama ulivyo wewe (botany and zoology) sasa hujiulizi wewe unavyokua hizo nyama, damu, mifupa inayoongzeka mwilini kwako vinatoka wapi ?Habari wakuu sana. Eti wakuu. Miti inakuwa kutoka wapi? Mbona unakuta mti mkubwa sana. Una kilo hata milioni moja(ukiwa mkavu), lakini pale ulipotoka hatuoni kama kuna kilo milioni moja zimetoka. Mti unatoka wapi?
View attachment 2417960View attachment 2417961View attachment 2417962View attachment 2417963View attachment 2417965
Hapana. Namaanisha kama mti unatoka ardhini, basi kuwe na shimo kubwa pale ulipotoka.
Huna akiliMti mkubwa una kilo laki tano umeota. Umetoka wapi? Mbona pale ulipotoka hatuoni dalili za kilo laki tano kutoka? Kilo laki tano ni mzigo wa shimo kubwa.
Balehe na namna ya kutumia condomIna maana siku hizi sayansi ya darasa la 5 hawafundishi mambo ya kotiledoni moja na kotiledoni mbili...
Mwl Evelyn Salt na To yeye mnafundishaga nini siku hizi?
Daaah, mkuu uko vizuri kwenye soil chemistry. Umetusaidia na sisi wengine ambao hatukuelewa mambo hayo. Lakini nina swali kuhusu hapo uliposema udongo kujizalisha; tunaonaga mara nyingi mahali pengi panachimbwa udongo either kwa ajili ya kutengeneza barabara au vinginevyo. Sasa mbona maeneo yaliyotolewa udongo yanabaki hivyohivyo (no recovering) kwa miaka na miaka?Mkuu kama umeishia Kidato cha nne swali lako halina maana kwani tayari ungekuwa na majibu.
Ili mti ukue utahitaji mambo Yafuatayo;
I. Udongo
2. Maji
3. mwanga
1. Udongo
Kidato cha nne Kama sio cha tatu kuna topic inaitwa "Soil" Kwa Kiswahili ndio huitwa UDONGO.
Udongo Una components/composition zake kama
i. Mwamba wa asili/mother rock/inorganic materials, hii ndio hutoa Madini/mineral kama madini ya chuma, calcium n.k lakini pia ndio ita-determine rangi ya udongo husika. Kama ni mweusi, mwekundu, au mweupe utatokana na Rangi ya mwamba wa asili
ii. Organic material (mimea na wanyama waliokufa kwenye udongo) hawa husaidia mmea kupata chakula kitamu chenye virutubisho vya ukuaji wa haraka.
iii. Water/ Maji haya hutumika kulainisha na kufanya decomposition ya mchakato wa utengenezaji wa udongo na chakula kwaaajilo ya mimea Kwa kushirikiana na Jotoridi(temperature) kusababisha chemical reaction
iv. Living Organisms/viumbe hai. Hapa kuna viumbe wadogo kabisa wanaoishi ndani ya udongo(macro and micro Organism)
V. Air/ hewa especially oxygen. Kwenye Udongo pia kuna hewa ya Oxygen na Carbon dioxide. Hewa ya Oxygen inasaidia wadudu wadogo waishio udongoni kupumua na kuwafanya waishi vizuri wakiwa udongo. Hewa na maji huingia udongoni kupitia soil space ambazo huitwa Soil pores (Soil porosity).
N.k
Udongo ndio chakula cha mti. Kwenye udongo kuna madini ambayo yanaumuhimu katika mmea kulingana na Aina ya mmea.
Kuna madini ya chuma, sulphate, nitrogen, calcium etc.
Kuna kitu kinaitwa Soil Formation. Yaani Kwa kimatumbi Kujitengeneza Kwa udongo.
Majibu ya swali Lako ndio yapo hapa.
Udongo unatabia ya kujizalisha/kujitengeneza kama ilivyo Kwa viumbe vingine. Ingawaje udongo bado haujatanabaishwa Kama kiumbe hai lakini unabaadhi ya tabia za viumbe hai kama kujizalisha (Reproduction/kuji-zalisha)
Soil formation ndio hufanya mtu hata uking"olewa usione uwiano wa chakula kilichotolewa udongoni kwenda kwenye mti na lile shimo lililobakia ardhini baada ya mti kung'olewa.
Hii ni Kwa sababu mtu unapokula virutubisho vya udongo, udongo nao unajizalisha.
Zingatia, ukuaji wa mimea na Miri kwenye mimea ni moja ya sababu inayopelekea uzalishaji na ukuaji wa udongo Kwa haraka na urahisi zaidi.
Hii ni tofauti na Maeneo yasiyo na Miti au mimea haya udongo haujizalishi Kwa haraka na ni rahisi kupata madhara kwani udongo unakuwa uchi. Kumbuka mimea na Miti ndio vazi la udongo.
Ili udongo usipate madhara ya weathering, mass wasting, soil erosion, basi itapasa mimea na Miti iwe juu yake kui-cover.
Kwa hiyo jibu la swali lako itakupasa uwe na Concepts kuhusu Udongo katika mambo haya;
i. Soil
ii. Soil composition
iii. Soil components
iv. Soil Formation
v. Soil profile
Ni Kama kwenye ngozi yako, ukiumia na kuchimbika, mwili unafanya mchakato wa kujitengeneza eneo Hilo Kurudi kama awali
Nafikiri Kwa kiasi kidogo utakuwa umepata majibu.
Daaah, mkuu uko vizuri kwenye soil chemistry. Umetusaidia na sisi wengine ambao hatukuelewa mambo hayo. Lakini nina swali kuhusu hapo uliposema udongo kujizalisha; tunaonaga mara nyingi mahali pengi panachimbwa udongo either kwa ajili ya kutengeneza barabara au vinginevyo. Sasa mbona maeneo yaliyotolewa udongo yanabaki hivyohivyo (no recovering) kwa miaka na miaka?
Sawa mkuu. Sasa hiyo Trunk na Canopy vimetoka wapi? Kama vimetoka hapo chini maana yake materials sawa na hayo yametoka hapo chini. Sasa mbona hatuoni shimo hapo kuonyesha kuwa Trunk na canopy vimetoka hapo.Mkuu kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba unajaribu kufananisha ujazo/ukubwa wa shimo la mti mkubwa na kitu kilichojengwa na binadamu. Mti unatumia mizizi kuweza kusimama na hiyo mizizi inaota kwa kulala si kwa kwenda chini sana ni tofauti na jinsi binadamu tunavyojenga, sisi inabidi kuwe na shimo refu kwenda chini kuweka msingi wa kile tunachojenga. Mti ni kiumbe chenye mfumo unaoweza kutafuta njia bora zaidi ya kusimama ardhini. Kwa utafiti mdogo nilofanya mtandoni unaonyesha kwa miaka mingi wanasayansi wamekuwa wakichunguza miti ili kuweza kuelewa zaidi njia bora za kusafirisha maji na hata kusimamisha majengo. Natamani wataalamu wa Architecture na Civil Engineering wangetupia jicho hapa ili kuendeleza huu mjadala.
Unaweza kusoma:
From tree to architecture: how functional morphology of arborescence connects plant biology, evolution and physics - Palaeobiodiversity and Palaeoenvironments
Trees are the fundamental element of forest ecosystems, made possible by their mechanical qualities and their highly sophisticated conductive tissues. The evolution of trees, and thereby the evolution of forests, were ecologically transformative and affected climate and biogeochemical cycles...link.springer.com
View attachment 2418100View attachment 2418101Maximum plant height and the biophysical factors that limit it
Abstract. Basic engineering theory and empirically determined allometric relationships for the biomass partitioning patterns of extant tree-sized plants shacademic.oup.com
We na utu uzima unafahamu mti unatoka wapi? Hatuwezi jadili makubwa bila kumaliza haya madogoKumbe tunabishanaga na watoto humu...
Why Children Make the Best Philosophers
Children are inherently philosophers. They want to understand the world, and constantly ask the question of "Why, Where, How, When , Who ?"
"No man should bring children into the world who is unwilling to persevere to the end in their nature and education."
Plato
Mi naona, kama kulikuwa na debe la unga na kilo ya nyama, naona havipo tena. Mbona sasa mti ulipoota hatuoni hicho?Miti ni viumbe hai tu kama ulivyo wewe (botany and zoology) sasa hujiulizi wewe unavyokua hizo nyama, damu, mifupa inayoongzeka mwilini kwako vinatoka wapi ?
Mti (mimea) Unaanzia kwenye surface kuelekea juu. Na Mizizi yake inakua kuelekea chini. Sema ndo kuna mimea ambayo shina linakua kwa rate kubwa kuliko mizizi wakati mingine ni vice versa
Mti kama mti. Kama umetoa minerals hadi kuwa na kilo laki tano(dry mass) basi tutegemee minerals kilo laki tano zitoke ardhini, lazima kuwe na shimo. Kila laki tano ni nyingi sanaSijuwi kama unamaanisha mti kama mti, au ni tafsida. Lakini kama unamaanisha mti wa kweli tunaoujua, ni kwamba una-absorb minerals kutoka ardhini na kuukuza, hivyo haina mahusiano na ulinganifu wa ukubwa wa mti na mahali ulipo/ulipotoka.