Miti inakua kutoka wapi? Mbona hatuoni shimo pale ulipotoka?

Mtu kama huyu jibu hili halimfai hawezi kukuelewa mkuu
 
Hueleweki na swali lako, kwani hujui kuwa mizizi iko chini ardhini au wajitoa ufaham
 
Go and ask bacteria called giberellae fujicroi which produces giberelic acid
 
Kwamba udongo unajizalisha ndiyo maana hatuoni shimo mti ulipotoka!!!?
 
Mimi nikila naona kabisa vitu vikiisha. Usifananishie na mtu. Lakini kiasi unaanza kueleweka. Sasa sehemu kubwa ya mti inatoka hewani au ardhini? Mbona hatuoni shimo pale chini kama ambavyo mimi naona unga ukiisha?
 
Kwamba udongo unajizalisha ndiyo maana hatuoni shimo mti ulipotoka!!!?

Nimekupa concept ya soil composition
Katika hizo composition ndipo chakula cha miti na mimea inapopatikana
Mimea haili tuu madini/miamba inakula pia wadudu waliokufa na mimea iliyooza.

Nikakutajia concept ya Soil formation.
Kwamba udongo unajizalisha hasa ukiwa na mimea na miti.
Zingatia mimea na miti inavuta Kwa ukaribu viumbe wengine Kama wadudu na kuangusha majani ambayo huoza.

Kwani wewe hukufika Kidato cha nne?
Maana swali ulilouliza linajibiwa na mtoto wa Kidato cha tatu au cha nne.

Swali lako ni Sawa uulize nywele ya binadamu ukiivuta kutoka kwenye ngozi Kwa nini haiachi shimo?

Udongo unajizalisha Kama ilivyo ngozi.
 
Mimi nikila naona kabisa vitu vikiisha. Usifananishie na mtu. Lakini kiasi unaanza kueleweka. Sasa sehemu kubwa ya mti inatoka hewani au ardhini?

Kingine,
Miti mikubwa uliyoiona haikui Kwa siku moja, inakula virutubisho kidogo kidogo na kukua polepole bila hata ya macho yako kuona.

Hoja yako ingekuwa na nguvu Kama miti hiyo mikubwa ingekuwa inakua Kwa siku moja.
Lakini inakula polepole na virutubisho huchukuliwa polepole.

Sio kama wewe unavyokula Ugali.
 
Umeamua tu kutengeneza swali lako na kujibu. Sijauliza mimi maswala ya soil formation. Mti wa kilo laki tano unatoka wapi? Mbona ulipoota hatuoni kilo laki tano zimetoka ardhini?
 
Mimi nikiweka gunia labda kumi za mahindi ndani na kilo elfu kadhaa za nyama na kuanza kula ugali nyama kwa miaka kadhaa, nitaona ninavyokua na ghala la msosi linavyopungua. Sasa mti tunaona unakua tu kwenda juu lakini hatuoni ghala likipungua
 
Sasa nakushauri leo, chukua sahani mbili, moja iwe imejaa wali maharage, kisha ipime gramu au kilo zake.
Alafu sahani ya pili iwe tupu.
Kisha Kula chakula chote, alafu baada ya masaa Matano mpaka Saba utakunya.
Kanye hayo mavi yako kwenye Ile sahani ilivyokuwa tupu. Alafu yapime mavi yako yanagram au kilo ngapi.
Yatapungua gram kadhaa lakini sio gram nyingi Sana.

Hivyo ndivyo miti inavyofanya kazi katika udongo na nature inavyofanya kazi
 
Mimi nikiweka gunia labda kumi za mahindi ndani na kilo elfu kadhaa za nyama na kuanza kula ugali nyama kwa miaka kadhaa, nitaona ninavyokua na ghala la msosi linavyopungua. Sasa mti tunaona unakua tu kwenda juu lakini hatuoni ghala likipungua
Udongo sio chakula cha mmea bali some elements and molecules ambazo haviwezi affect ujazo wa Udongo vikiwa vinatumiwa na mmea
 
Umeamua tu kutengeneza swali lako na kujibu. Sijauliza mimi maswala ya soil formation. Mti wa kilo laki tano unatoka wapi? Mbona ulipoota hatuoni kilo laki tano zimetoka ardhini?

Nimekujibu mbona.

Swali lako ni lakitoto na wanawaza watu wajinga ambao hawajaenda Shule.

Ni Sawa uulize mbona dunia haizidi uzito ilhali idadi ya watu na wanyama inaongezeka kila iitwapo leo?

Hujasoma Nitrogen Cycle, Carbon Cycle, hydrological Cycle n.k.

Mimea inatoa chakula udongo na kukirudisha udongoni,
Halikadhalika na Wanyama, iweje useme huoni shimo? Au huoni Ardhi ikiisha?

Ndio maana nikakuambia mti Kama ungekuwa Kwa siku moja na hiyo Kilo Mia tano basi swali lako lingekuwa na mantiki kidogo.
Lakini unakua taratibu na kuchukua nutrients kidogo kidogo, kisha udongo nao unajidhalisha kidogo kidogo kuupa mti chakula.

Hujiulizi ni Kwa nini baadhi ya miti inakufa ikiwa michanga?
 
Mizizi inachukua nafasi ya udongo (minerals, nutrients) unaobadilishwa kuwa mti.

Kwani hujawahi kukuta mti umeng’olewa (kuanzia miziz yake), then ukaona BONGE la shimo utadhani pameangukiwa na kimondo cha Mbeya?
 
We ukinyoa mavuzi tele ushawahi kuona mashimo kwenye hicho kibumbumbu chako?View attachment 2418277
Nywele zote ni protini. Ukinyoa hata moja, basi volume yako na protini zako, na uzito wako unakuwa umepungua. Ukinyoa nyingi ndiyo itaonekana zaidi. Sasa fikiria mti wa kilo milioni moja kutoka ardhini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…