Miti inakua kutoka wapi? Mbona hatuoni shimo pale ulipotoka?

Mti kama mti. Kama umetoa minerals hadi kuwa na kilo laki tano(dry mass) basi tutegemee minerals kilo laki tano zitoke ardhini, lazima kuwe na shimo. Kila laki tano ni nyingi sana
Hizo minerals zinazokuwa absorbed zinajizalisha tena kama alivyosema bwana Heriel. Hiyo ni process endelevu, ni kama tunavyosema mafuta (ya ardhini) yanatokana na decomposed animals and plants, kwahiyo hayataisha. Uarabuni ni lini wameanza kuchimba mafuta na mpaka leo bado wana tani za kutosha? Mkuu, najua ya kuwa, haya ni mepesi sana kwako kuyaelewa, nahisi unavunga tu. Ndio maana nikakuuliza; ni kweli unamaanisha mti huu wa kawaida au ni tafsida? Maana nahisi tunapigwa na kitu kizito kichwani!
 
You’re outrageously lying. Unajua just per day, mti unasharabu nutrients, mineral salts, water kiasi gani ambazo ni equivalent na volume ama uzito wa udongo?

Uelewa wako wa sayansi ni kiduchu sana.
Soma usikurupuke incompetent wewe,, minerals must be dissolved on water kabla ya kwenda kwa plants,, minerals dont dissolve in soil,, that's why nimesema tunachoweza kupima na kupata majibu ni moisture na level na sio udongo,, na kwa taarifa yako hata kama minerals zikiwa kwa udongo huwa zinakuwa free na hazijashikwa na udongo,, we mtu vipi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado nabisha uelewa wao ni mdogo mno wa plant anatomy and physiology
 
Hii statement inavuruga logic. Kumbuka hata minerals, micronutrients, water, etc, ukizichoma zinabadilika kuwa hewa.
Maji sawa. Si rahisi kwa micronutrients nyingi kama iron, magnesium nk kugeuka gas na kuingia hewani.
 
Udongo wenyewe ni minerals. Sehemu kubwa ni silica.
 
huyo jibu lake nikumwambia ajitahidi kadiriawezvyo aung`oe mti kwa kuuvuta juu kama atauweza, akiweza basi pale atona hilo li shimo analolitaka
Shimo hilo litalingana na ukubwa wa mti? Tena fikiria mti wa matunda ambao kilo kadhaa zinavunwa kila mwaka. Miaka kumi labda zimevunwa hata kilo 1,000. Jumlisha na uzito wa mti wenyewe, je ni kiasi hicho kimeondolewa udongoni. Wataalamu waligundua kuwa mti hutoka hewani.
 
Ni sawa na miguu kubeba tumbo kubwa au mwili wote. Nguzo kubeba jengo lenye gorofa 50 n.k
 
Kwa nini bado unabisha? Mti unatoka hewani. Sehemu ndogo sana inatoka ardhini. 95 ya mti no maji na hewa(Carbondioxide)
Maji na hewa hutumika kutengeneza energy suppliments for plant growth (kutengenezwa kwa tissues for primary and secondary growth)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…