Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #581
Nitajie manabii waliotokea kwa Ishmael ukimuacha huyo mnamuita mtume muhammad maana huyu kaja alone na dini yake ya uislamu.Sasa nimekimbia swali vipi na umeuliza nabii gani ametokea katika uzao wa Isamili nimekutajia Muhammad, sasa swali limekimbiwa kivipi ?
Unaweza kuthibitisha ya kuwa Mtume ametokea from no where, kwanza unawezaje kutokea from no where ?
Kingine nakupa faida tu, nabii Ibrahiim aliomba kwa Mola wake manabii watokee katika kizazi chake na ikawa hivyo.
Yohana Mtume ndio mwandishi wa injili ya Yohana.Swali zuri hata sisi pia sote tulikuwepo, kwahiyo hii si hoja.
Kingine haya masimulizi ameyasimulia nani kutoka kwa nani ?
Nitajie manabii waliotokea kwa Ishmael ukimuacha huyo mnamuita mtume muhammad maana huyu kaja alone na dini yake ya uislamu.
Baraka imemfanya Ishmael akawa taifa kubwa enzi hizo, hilo halina ubishi. Dunia ya leo tuna assume kwamba waarabu wa saudi na palestina ni descendants wake. Ni mataifa ya kawaida sana ukifananisha na Israel katika nyanja zote.Mwanzo 17:20Genesis 17:20
Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.
Mwanzo 17:26Genesis 17:26
Siku ile ile akatahiriwa Ibrahimu na Ishmaeli mwanawe.
kwa hiyo ujuwe kuwa Huyu Ishmaili alikuwa Nabii na alihamia Makka (katika Bonde la Parani) na iliishi pale na mama yake na akawa nabii wa mji ule na alikuwa ndiye Babu wa waarabu wote wa kikureish. Alifundisha kuwataka watu wamuabudu Mungu wa Ibrahimu, naye alitimiza Agano lile la Milele la watu wa Mungu la kutahiriwa.
Nikuulize je ewe umetahiriwa ?
Mwa 21:21 SUV
Akakaa katika jangwa la Parani; mama yake akamtwalia mke katika nchi ya Misri.
Unataka kusema Alie danganya Allah hakuna Alie ona uongo wake ππ sasa kama alifanya uongo na hakuna Alie ona uongo ni WA niniKuna swali nimekuuliza nitajie watu watano tu walio ona Yesu akisulubiwa. Hujajibu hili swali.
Kumbuka hiyo issue ya kaburini muhammad kaiga fairy tale stories za wayahudi πππππUkweli utaujua siku utakapokufa,na hutapewa mda wa kuwaambia wenzako sababu mda wako wa kuishi duniani utakuwa umekwisha,Siku utakapoulizwa kaburini Mungu wako nani?Dini yako dini
Jibu kwanza swali nililo kuuliza.Nitajie manabii waliotokea kwa Ishmael ukimuacha huyo mnamuita mtume muhammad maana huyu kaja alone na dini yake ya uislamu.
Tuwekee ushahidi, na utuambie huo utume alipewa na nani ? Na utuambie habari za Yesu alizipata wapi ?Yohana Mtume ndio mwandishi wa injili ya Yohana.
Jibu swali nililo kuuliza wewe si ulisema kuja wayu walishuhudia Yesu akisulubiwa ?Unataka kusema Alie danganya Allah hakuna Alie ona uongo wake ππ sasa kama alifanya uongo na hakuna Alie ona uongo ni WA nini
Mwanzo:21:20 Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upindekwasababu hakuwa mrithi?
Ushahidi kasome biblia.Tuwekee ushahidi, na utuambie huo utume alipewa na nani ? Na utuambie habari za Yesu alizipata wapi ?
Swali gani?Jibu kwanza swali nililo kuuliza.
Kwahiyo hizi habari hazikuwepo mpaka alipozileta muhammad?Mwanzo:21:20 Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upinde
Habari za Ishmali hazikuenelezwa katika Biblia, kwa sababu kitabu hiki kimekusanya Matokeo na mafunzoya Uzao wa Isanka.
Qur-animefafanua pale ilipomalizia Taurati kuhusu Ishmael.
Kwa kifu Ismaeli ulikuwa ni Mpango wa Mungu wa Baadae na kwa mataifa yote ya Ulimwengu ,kama alivyomteua Isaka kwa wana wa Israeli tuu.
Nadhani wewe unachukuliakuwa Mungu hakumpenda Ismael, hapana alimpenda ,lakini Plan yake ilikuwa bado kwanza.
Hii kazi yako uliye dai kuwa ni mtume.Ushahidi kasome biblia.
Soma post #593 kuna swali nimekuuliza pale.Swali gani?
Yani uoni uongo hapo , kuweka mtu mwingine anaefanana na original?Jibu swali nililo kuuliza wewe si ulisema kuja wayu walishuhudia Yesu akisulubiwa ?
Kingine uongo gani ulifanywa hapo ? Kwahiyo Mola kumuokoa mja wake ni uongo ? Kijana una matatizo ya akili.
Jibu swali nililo kuuliza. Maana yake waongo ni nyinyi ambao mnasema Yesu alisulubiwa wakati kiuhalisia hakusulubiwa.Yani uoni uongo hapo , kuweka mtu mwingine anaefanana na original?
Muongo ni Allah yeye ndio alifanya tukio la kuongopa na hakusema ukweli miaka 600, ata wewe Kisai ungekuwa pale ungeona na ungeamini , Kuna sheikh mmoja kakiri wazi hiyo Aya Kuna mtu kaichomeka maana haeleti mantiki kwa nini Allah adanganyeJibu swali nililo kuuliza. Maana yake waongo ni nyinyi ambao mnasema Yesu alisulubiwa wakati kiuhalisia hakusulubiwa.
Ni jambo la kuchekesha Yani unasema anamuokoa mja wake na anamtua uhai mja wake mwingine ππππππ hii story ya Isa bandia muhammad alichemka Sana kutunga ujingaJibu swali nililo kuuliza. Maana yake waongo ni nyinyi ambao mnasema Yesu alisulubiwa wakati kiuhalisia hakusulubiwa.