Zipo commentary nyingi soma , tumemaliza usirudie swali kama una scratch CD na msaidie ndugu Yako muongo Kisai kasema waliona Yesu kasulubiwa badae anadai sio yeye kasemaNaona umeamua kumtumia Charles John Ellicott muanglikana akusaidie ambaye amezaliwa 1819. Katika maelezo hakuna sehemu amekanusha kuhusu kulaaniwa. Humo kapiga porojo za kusamehewa dhambi ya kwamba laana zetu zimebebwa.
Galatians 3:13
13 Christ redeemed us from the curse of the law(A) by becoming a curse for us, for it is written: “Cursed is everyone who is hung on a pole.
Hakuna kukimbia swali hapa hadi tupate jibu. Naona umegoogle bila kutumia akili. Yaani hapo umehamisha lugha hakuna kilichojibiwa.Zipo commentary nyingi soma , tumemaliza usirudie swali kama una scratch CD na msaidie ndugu Yako muongo Kisai kasema waliona Yesu kasulubiwa badae anadai sio yeye kasema
Majibu nimeshaweka kasome , tena zipo commentary nyingi sio moja tuHakuna kukimbia swali hapa hadi tupate jibu. Naona umegoogle bila kutumia akili. Yaani hapo umehamisha lugha hakuna kilichojibiwa.
Huku kwako kuchambua kunakushinda nini hadi ujaribu commentaries za waanglikana ambazo hazina majibu. Swali halijibiki nikubadilishie swali rahisi zaidi?
Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
Kijana nimekwambia ruka utakavyo ruka ila maswali yangu lazima uyajibu. Suala miaka nimeshalielezea huko nyuma na hiyo si hoja ya msingi, hata ingekuwa miaka elfu, Allah anafanya analo litaka, na huleta mtume na manabii kwa haja, soma huko nyuma nilielezea hili. Sasa usilete usanii ukaona hii nayo ni hoja ambayo nimeshaiweka wazi huko nyuma.Kwa hili Kisai uje uwe muungwana uombe samahani kwa kudanganya haukukiri waliona ni Yesu msalabani
Alafu uje useme Allah alikaa mda Gani kuja kusema lililo kweli
Haupendi ushuhuda wa Allah au ? Maana naona unataka mwingine wakati Allah kasema alicho fanyaKijana nimekwambia ruka utakavyo ruka ila maswali yangu lazima uyajibu. Suala miaka nimeshalielezea huko nyuma na hiyo si hoja ya msingi, hata ingekuwa miaka elfu, Allah anafanya analo litaka, na huleta mtume na manabii kwa haja, soma huko nyuma nilielezea hili. Sasa usilete usanii ukaona hii nayo ni hoja ambayo nimeshaiweka wazi huko nyuma.
Maswali yangu ni yale yale tuambie kwa mujibu wa imani yenu ambayo mnaamini Yesu amesulubiwa, kina nani walishuhudia, n habari za Yesu, Yohana amezipata wapi ?
Sasa kijana si uweke maelezo yangu yote, unaruka ruka nini ?Zipo commentary nyingi soma , tumemaliza usirudie swali kama una scratch CD na msaidie ndugu Yako muongo Kisai kasema waliona Yesu kasulubiwa badae anadai sio yeye kasema
Suala la imani yangu nimelimaliza nipo kwenye imani yenu, au hiki Kiswahili ninacho kiandika hapa hukielewi ?Haupendi ushuhuda wa Allah au ? Maana naona unataka mwingine wakati Allah kasema alicho fanya
Jibu lako liko wazi Shahid ni Allah anasema walijua wazi ni Yesu , sasa kama unampinga allah useme wazijinu liko wazi, wao walijua ni Yesu, ndiyo
Allah kasema waliona kasulubiwa sasa wewe bisha humu sema hawakuona ,Suala la imani yangu nimelimaliza nipo kwenye imani yenu, au hiki Kiswahili ninacho kiandika hapa hukielewi ?
Wewe si unaamini Yesu alisulubiwa au imani yako ni kama yangu ? Sasa usilete utoto.
Jibu maswali niliyo kuuliza
Kwahiyo unakubali Yesu hakusulubiwa si ndiyo ?Jibu lako liko wazi Shahid ni Allah anasema walijua wazi ni Yesu , sasa kama unampinga allah useme wazi
Nakubali wazi Allah kasema waliona wazi kasulubiwa , they sawa na wakaandika walicho ona Yani ni wakweli kabisaKwahiyo unakubali Yesu hakusulubiwa si ndiyo ?
Uweke majibu wenzako waone. commentary zipo nyingi ndiyo majibu gani. Haujaweka majibu bado.Majibu nimeshaweka kasome , tena zipo commentary nyingi sio moja tu
Nimeshaweka link ingia kasome , hayo ndio majibuUweke majibu wenzako waone. commentary zipo nyingi ndiyo majibu gani. Haujaweka majibu bado.
Nimekuwekea nyekundu tena Kristo amelaaniwa au hajalaaniwa tukitumia mstari huo?
Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
Soma hapa :Allah kasema waliona kasulubiwa sasa wewe bisha humu sema hawakuona ,
Walifananishiwa na wakaona tukio lote na wakaandika walicho ona Yani wapo wa kweli kabisa kwa kushuhudia walicho onaSoma hapa :
157. Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini. (an-Nisaa : 157)
Hii ni Qur'aan, sasa Biblia yenu nataka inijibu ya kuwa walio shuhudia Yesu akisulubiwa ni nani ?
Hiyo ni Qur'aan, sasa turudi katika imani yako na ndimo lilipo swali langu.Nakubali wazi Allah kasema waliona wazi kasulubiwa , they sawa na wakaandika walicho ona Yani ni wakweli kabisa
Hatuwezi kurudi wakati Allah kathibitisha tukio walionaHiyo ni Qur'aan, sasa turudi katika imani yako na ndimo lilipo swali langu.
Sasa nitajie watano walio shuhudia hilo tukio.Walifananishiwa na wakaona tukio lote na wakaandika walicho ona Yani wapo wa kweli kabisa kwa kushuhudia walicho ona
Hapa tunataka majibu. Kwenye link hakuna majibu.Nimeshaweka link ingia kasome , hayo ndio majibu
Allah kasha shuhudia unataka wengine wa niniSasa nitajie watano walio shuhudia hilo tukio.