Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Uislamu upi huo Shia ,au ahamadiya? Au sunni
Huo labda unaujua mwenyewe,sisi tunaamini Mungu mmoja pamoja na Mitume na vitabu alivyowapa,inamana kila walichokifanya mitume walikifanya kwa amri ya Mungu akiwemo Yesu au Issa na kitabu alichopewa cha Enjili
 
Kwa uelewa wako Mungu anaweza kuwa zaidi ya sehemu moja kwa wakati mmoja ?
Naweza kukukatalia,lakini ninachoamini Mungu ana Maraika wake ambao humraisishia kazi zake au huwasiliana naye,mfano tumewekea malaika wawili kulia na kushoto ambao kazi yao ni kutuandikia mema yetu na mabaya yetu
 
Kwa hyo dini inayo support homosexuality ndio ya haki bora hata wapagani kuliko hawa wanaojiona washaenda peponi.
 
Kwa hyo dini inayo support homosexuality ndio ya haki bora hata wapagani kuliko hawa wanaojiona washaenda peponi.
Unajua adhabu yake,kwanza ukifa wewe mfirija wa wanaume wenzako au mfirwaji maiti yako inahamishwa kimiujiza unapelekwa kwenye makaburi ya wenzako Sodoma na Gomola,ili mje mfufuliwe pamoja
 
Naweza kukukatalia,lakini ninachoamini Mungu ana Maraika wake ambao humraisishia kazi zake au huwasiliana naye,mfano tumewekea malaika wawili kulia na kushoto ambao kazi yao ni kutuandikia mema yetu na mabaya yetu

Tuache unachoamini.

Kwa mujibu wa maandiko wewe hapo ulipo Mungu yupo ?
 
Huo labda unaujua mwenyewe,sisi tunaamini Mungu mmoja pamoja na Mitume na vitabu alivyowapa,inamana kila walichokifanya mitume walikifanya kwa amri ya Mungu akiwemo Yesu au Issa na kitabu alichopewa cha Enjili
Yesu na Isa Ni watu wawili tofauti

Halafu Uislamu gani unauzungumzia ,ninapokaa huku Kuna misikiti hawa washia, hawa wasuni

Naomba nijue Unauzungumzia Uislamu wa Dhehebu gani

Huwez kusema Eti Uislamu,, lazima ufunguke Ni upi SHIA AU SUNNI, AU WASUFI, AU MABOHORA ,AU AHAMADIYA?
 
Attachments

  • FB_IMG_1652986862734.jpg
    23.1 KB · Views: 16
Hapana itakuwa Roman catholic, Orthodox church, sabato, mashahidi wa Yehova n.k
Jibu swali Mzee baba ,kwenye Ukristo tunajua Kuna MADHEHEBU,

Wewe tuambie tuufate uislamu upi ,SHIA AU SUNNI? AU MABOHORA AU WASUFI?
 
Jibu swali Mzee baba ,kwenye Ukristo tunajua Kuna MADHEHEBU,

Wewe tuambie tuufate uislamu upi ,SHIA AU SUNNI? AU MABOHORA AU WASUFI?
Kila dhehebu si lina watu?, fata lolote lile wote ni waislamu hao , madhehebu yasikuchanganye, muhimu wamekiri shahada basi ni waislamu
 
Hii kawaida mbona hata wasabato wanawaita Roman catholic kuwa ni mawakala wa shetani , wala haifanyi Roman catholic kuacha Ukristo wao, lete hoja za maana, muhimu ni kukiri shahada basi hayo mengine mbwembwe, unayo hoja?
 
Hakuna tena original,hao waliopewa kitabu waliokuwa na Elimu ya dini ndiyo waliopotosha maandishi kwa maslai yao mpaka kufikia kusema Yesu ni Mungu
Mungu akashindwa kulinda maandiko yake mwenyewe.
 
Yaani wewe umtangaze Mungu kufanywa ndafu msalabani halafu unashangaa mambo ya kawaida , hivi nyie mko sawa sawa kweli, umesahau hata Yakobo alibarikiwa na Mungu pamoja kuwa alitumia uongo kupata baraka kutoka kwa baba yake Isiaka
Yakobo alikuwa na haki kwasababu Esau aliapa kwa kiapo kumpatia haki ya mzaliwa wa kwanza.

Alitakiwa kumwambia baba yake kuhusu yale makubaliano. Mungu aliheshimu makubaliano na alimuadhibu Yakobo kwa udanganyifu aliofanya. Aliteseka miaka 20 kule syria.
 
Kwa hyo dini inayo support homosexuality ndio ya haki bora hata wapagani kuliko hawa wanaojiona washaenda peponi.
Kwahiyo waislamu wanasapoti ushoga kwasababu yule sheikh kule arusha amewanajisi watoto 22?

Anayefanya dhambi atahukumiwa yeye binafsi.
 
1.Kama alikuwa na haki kwanini amdanganye baba yake ?
2. Kwanini Mungu aliendelea kumbariki mtu alietumia uongo kupata baraka kutoka kwa baba yake?
3. Nionyeshe wapi Mungu alikemea kile kutendo cha Yakobo kumdanganya baba yake?
 
Umeongea pumba gani..yani watu wasihoji dini fulani kisa haiwezekani kufutwa..ni wakati wa kuweka mambo hadharani acha dini zohojiwe tujue ipi ni ya kweli ipi niya uongo.

Free will free world.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hujajibu hoja naona unazungukazunguka tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…