Et Wote wanakiri shahada,huwez kusema. Kwenye Ukristo MADHEHEBU yote sawaHii kawaida mbona hata wasabato wanawaita Roman catholic kuwa ni mawakala wa shetani , wala haifanyi Roman catholic kuacha Ukristo wao, lete hoja za maana, muhimu ni kukiri shahada basi hayo mengine mbwembwe, unayo hoja?
Ungeweka na mstari wa biblia unaosapoti haya uyasemayo.Kuombea mfu ni upagani, ni usheitwani!
YESU ndiye BWANA
USIKIMBIE HOJA ,JIBU SHORT AND CLEARKila dhehebu si lina watu?, fata lolote lile wote ni waislamu hao , madhehebu yasikuchanganye, muhimu wamekiri shahada basi ni waislamu
Hakuna alipoombewa, weka aya Akiombewa Kama wafanyavyo wapagan Roma na waislamuUngeweka na mstari wa biblia unaosapoti haya uyasemayo.
Kasome YOHANA 11:1-48.
Labda tu nikuulize, Lazaro alipofariki, kufufuliwa kwake alijiombea!? Hakuombewa na dada yake huku Lazaro akiwa amefariki..!?
Weka andiko hilo... usije ukawa umekaririshwa ndugu... Kasome YOHANA 11:1-48Hakika mkuu, huu ni ukweli unaodumu milele. Imeandikwa mtu anakufa mara moja na baada ya hapo ni hukumu.
Wewe maandiko huyajui ,ndio maana unapachika aya TU ,Weka andiko hilo... usije ukawa umekaririshwa ndugu... Kasome YOHANA 11:1-48
Usikurupuke wewe, sisi tunamtakia amani, hakuna maombi hapo, tunamtakia amaniMtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake.
Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa.
Mtume Petro naye alikumbusha kuombea huduma na alipomaliza aliwaambia waumini kwamba wakati umefika kwake kuondoka tena itakuwa kutundikwa juu ya msalaba kichwa kikiwa chini na miguu juu.
Hawa wote wawili walikuwa na furaha na kuondoka duniani kwa uhakika na ushindi. Walikuwa wakiwasisitiza waumini wafuate mfano wao.
Sasa nashangaa kuna nabii eti ni wa mwisho na ndio mkuu kwa wote lakini mpaka sasa anaombewa akiwa amefariki.
Alikwama wapi na nini kimemfanya yeye asiwe na uhakika wa kuingia mbinguni mpaka aendelee kuombewa?
Nani, mbona wewe mwenyewe umekana kuwa hakuna sehemu ametajwa?Huwa anaombewa rehema kwasababu gani? Mtu aliyekipenzi cha Allah anaombewa na yuko ahera anaombewa ili iweje?
Mwili wa Kristo Yesu ulitahiriwa. Kumbuka mtoto amezaliwa lakini Mwana (wa Mungu) tumepewa.
Kama umesoma Ile habari vizuri utagundua Isaka alikuwa anampenda Esau zaidi ya Yakobo. Ndio maana mama akaamua kusaidia kumdanganya kwasababu yeye alikuwa anampenda Yakobo.1.Kama alikuwa na haki kwanini amdanganye baba yake ?
2. Kwanini Mungu aliendelea kumbariki mtu alietumia uongo kupata baraka kutoka kwa baba yake?
3. Nionyeshe wapi Mungu alikemea kile kutendo cha Yakobo kumdanganya baba yake?
Unajua kwanini muujiza wa kufufua mtu ni mgumu sana? Kwasababu anayeweza kufufuliwa ni yule ambaye ameenda mbinguni. Tena hapo lazima awe hakumaliza kazi yake duniani ndio Mungu anaweza kuruhusu arudi.Weka andiko hilo... usije ukawa umekaririshwa ndugu... Kasome YOHANA 11:1-48
Mnamuombea rehema, usidanganye hapa. Na rehema anaombewa yule aliyefanya kosa/dhambi.Usikurupuke wewe, sisi tunamtakia amani, hakuna maombi hapo, tunamtakia amani
Tukiamini kwamba yeye ni kipenzi cha Mwenyezi Mungu hivyo kumtakia amani ni kumfurahisha Mwenyezi Mungu, yani sawa tu na kumsifu Mungu na manabii wake kunavyomfurahisha, ndio tukimtakia amani anavyofurahika
Alisema,"Mimi na baba tu umoja/mmoja". Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu mmoja.Yeye ni mwana wa Mungu au yeye ni Mungu mwenyewe??
Mswalie mtume!!Kuombea mfu ni upagani, ni usheitwani!
YESU ndiye BWANA
Niliyemjibu tayari alimtaja huyo tunayemuongelea.Nani, mbona wewe mwenyewe umekana kuwa hakuna sehemu ametajwa?
Mbona huna uhakika au unaogopa nini kuwa transparency.
Ukimuombea mwenzako lilo jema kwa imani yangu mimi hata hatatakaswa lakini wewe muombaji wa wema kwake haupati dhambi isipokuwa utapata swawabu.
Kama hivyo ndivyo kuna shida gani kumuombea mtu mema hata kama alishatakaswa tayari Mwenyezimungu kuna ubaya gani? As long as hakuna kitu kitapotea kwako kwa kufanya hivyo?
Anaswaliwa akiwa tayari yupo na mungu, tena akiwa ndio kipenzi chake.🤣🤣Mswalie mtume!!
KAFIRI katika ubora wakoEleza kwanini anaombewa, acha kutoa kejeli.
Mnamtakia Aman mfu marehemu?Usikurupuke wewe, sisi tunamtakia amani, hakuna maombi hapo, tunamtakia amani
Tukiamini kwamba yeye ni kipenzi cha Mwenyezi Mungu hivyo kumtakia amani ni kumfurahisha Mwenyezi Mungu, yani sawa tu na kumsifu Mungu na manabii wake kunavyomfurahisha, ndio tukimtakia amani anavyofurahika
Ni lile linalo kiri kuwa Mohamadi ni mtume wa Mungu na Allah ana mshirika, hakuzaa wala hakuzaliwa, na Issa bin Maryamu sio Mungu ni nabii tu, dhehebu hili ndio linalo takiwaEt Wote wanakiri shahada,huwez kusema. Kwenye Ukristo MADHEHEBU yote sawa
NDIO maana nakuuliza uuslamu upi twende? Shia au Sunni?
Kwa Ukristo Wote wanakiri Yesu Ni Bwana na mwokoz, Lkin sio kigezo et uende Dhehebu lolote
Hata Mwamposa Ni tapeli ila anajiita Mkristo
Yesu alisema sio kila asemaye Bwana Bwana Ni mkweli
Turud kwa Hoja kwenye uislamu Kuna MADHEHEBU 73 ,
Ni Lipi twende?
Dhehebu pekee linalo kiri kuwa Allah hana mshirika , hakuzaa wala hakuzaliwa, Mohamadi ni mtume wa Mungu na Issa bin Maryamu ni nabii tu wala sio Mungu, hili ndio dhehebu la kufata, swali jingine?Et Wote wanakiri shahada,huwez kusema. Kwenye Ukristo MADHEHEBU yote sawa
NDIO maana nakuuliza uuslamu upi twende? Shia au Sunni?
Kwa Ukristo Wote wanakiri Yesu Ni Bwana na mwokoz, Lkin sio kigezo et uende Dhehebu lolote
Hata Mwamposa Ni tapeli ila anajiita Mkristo
Yesu alisema sio kila asemaye Bwana Bwana Ni mkweli
Turud kwa Hoja kwenye uislamu Kuna MADHEHEBU 73 ,
Ni Lipi twende?