hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Et Wote wanakiri shahada,huwez kusema. Kwenye Ukristo MADHEHEBU yote sawaHii kawaida mbona hata wasabato wanawaita Roman catholic kuwa ni mawakala wa shetani , wala haifanyi Roman catholic kuacha Ukristo wao, lete hoja za maana, muhimu ni kukiri shahada basi hayo mengine mbwembwe, unayo hoja?
NDIO maana nakuuliza uuslamu upi twende? Shia au Sunni?
Kwa Ukristo Wote wanakiri Yesu Ni Bwana na mwokoz, Lkin sio kigezo et uende Dhehebu lolote
Hata Mwamposa Ni tapeli ila anajiita Mkristo
Yesu alisema sio kila asemaye Bwana Bwana Ni mkweli
Turud kwa Hoja kwenye uislamu Kuna MADHEHEBU 73 ,
Ni Lipi twende?