Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Hii kawaida mbona hata wasabato wanawaita Roman catholic kuwa ni mawakala wa shetani , wala haifanyi Roman catholic kuacha Ukristo wao, lete hoja za maana, muhimu ni kukiri shahada basi hayo mengine mbwembwe, unayo hoja?
Et Wote wanakiri shahada,huwez kusema. Kwenye Ukristo MADHEHEBU yote sawa

NDIO maana nakuuliza uuslamu upi twende? Shia au Sunni?

Kwa Ukristo Wote wanakiri Yesu Ni Bwana na mwokoz, Lkin sio kigezo et uende Dhehebu lolote

Hata Mwamposa Ni tapeli ila anajiita Mkristo

Yesu alisema sio kila asemaye Bwana Bwana Ni mkweli

Turud kwa Hoja kwenye uislamu Kuna MADHEHEBU 73 ,

Ni Lipi twende?
 
Kuombea mfu ni upagani, ni usheitwani!

YESU ndiye BWANA
Ungeweka na mstari wa biblia unaosapoti haya uyasemayo.

Kasome YOHANA 11:1-48.

Labda tu nikuulize, Lazaro alipofariki, kufufuliwa kwake alijiombea!? Hakuombewa na dada yake huku Lazaro akiwa amefariki..!?
 
Kila dhehebu si lina watu?, fata lolote lile wote ni waislamu hao , madhehebu yasikuchanganye, muhimu wamekiri shahada basi ni waislamu
USIKIMBIE HOJA ,JIBU SHORT AND CLEAR

Kwa Ukristo Wote wanakiri Yesu Ni Bwana na mwokoz, Lkin sio kigezo et uende Dhehebu lolote

Hata Mwamposa Ni tapeli ila anajiita Mkristo

Yesu alisema sio kila asemaye Bwana Bwana Ni mkweli

Turud kwa Hoja kwenye uislamu Kuna MADHEHEBU 73 ,

NI LIPI TWENDE ,KUHUSU UKRISTO ANZISHA HIYO HOJA
 
Ungeweka na mstari wa biblia unaosapoti haya uyasemayo.

Kasome YOHANA 11:1-48.

Labda tu nikuulize, Lazaro alipofariki, kufufuliwa kwake alijiombea!? Hakuombewa na dada yake huku Lazaro akiwa amefariki..!?
Hakuna alipoombewa, weka aya Akiombewa Kama wafanyavyo wapagan Roma na waislamu
 
Weka andiko hilo... usije ukawa umekaririshwa ndugu... Kasome YOHANA 11:1-48
Wewe maandiko huyajui ,ndio maana unapachika aya TU ,

Hakuna ANDIKO hapo linaruhusu uombee wafu Kama wafanyavyo Wapagan Roma na waislamu

Kuombea wafu ni kinyume cha sheria katika Biblia. Kumbukumbu la Torati 18:11 inatuambia kwamba mtu yeyote ambaye "hutafuta kwa wafu" ni "chukizo kwa Bwana."

Hadithi ya Sauli kwa ushauri wa kati ili kuleta roho ya Samweli aliyekufa ilisababisha kifo chake "kwa sababu hakuwa mwaminifu kwa Bwana; hakuifadhi neno la BWANA na hata hakuuliza ushauri kwa mwongozo "(1 Samweli 28: 1-25; 1 Mambo ya Nyakati 10: 13-14).

Kwa wazi, Mungu ametangaza kwamba mambo hayo hayatakiwi kufanywa.
 
Mtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake.

Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa.

Mtume Petro naye alikumbusha kuombea huduma na alipomaliza aliwaambia waumini kwamba wakati umefika kwake kuondoka tena itakuwa kutundikwa juu ya msalaba kichwa kikiwa chini na miguu juu.

Hawa wote wawili walikuwa na furaha na kuondoka duniani kwa uhakika na ushindi. Walikuwa wakiwasisitiza waumini wafuate mfano wao.

Sasa nashangaa kuna nabii eti ni wa mwisho na ndio mkuu kwa wote lakini mpaka sasa anaombewa akiwa amefariki.

Alikwama wapi na nini kimemfanya yeye asiwe na uhakika wa kuingia mbinguni mpaka aendelee kuombewa?
Usikurupuke wewe, sisi tunamtakia amani, hakuna maombi hapo, tunamtakia amani

Tukiamini kwamba yeye ni kipenzi cha Mwenyezi Mungu hivyo kumtakia amani ni kumfurahisha Mwenyezi Mungu, yani sawa tu na kumsifu Mungu na manabii wake kunavyomfurahisha, ndio tukimtakia amani anavyofurahika
 
Huwa anaombewa rehema kwasababu gani? Mtu aliyekipenzi cha Allah anaombewa na yuko ahera anaombewa ili iweje?
Nani, mbona wewe mwenyewe umekana kuwa hakuna sehemu ametajwa?
Mbona huna uhakika au unaogopa nini kuwa transparency.

Ukimuombea mwenzako lilo jema kwa imani yangu mimi hata hatatakaswa lakini wewe muombaji wa wema kwake haupati dhambi isipokuwa utapata swawabu.

Kama hivyo ndivyo kuna shida gani kumuombea mtu mema hata kama alishatakaswa tayari Mwenyezimungu kuna ubaya gani? As long as hakuna kitu kitapotea kwako kwa kufanya hivyo?
 
1.Kama alikuwa na haki kwanini amdanganye baba yake ?
2. Kwanini Mungu aliendelea kumbariki mtu alietumia uongo kupata baraka kutoka kwa baba yake?
3. Nionyeshe wapi Mungu alikemea kile kutendo cha Yakobo kumdanganya baba yake?
Kama umesoma Ile habari vizuri utagundua Isaka alikuwa anampenda Esau zaidi ya Yakobo. Ndio maana mama akaamua kusaidia kumdanganya kwasababu yeye alikuwa anampenda Yakobo.

Baraka za Mungu zinamfikia mtu aliye na haki. Tena Mungu alimchukia Esau kwa kuuza haki yake kwa mlo mmoja.

Mungu makemeo yake tayari yapo kwenye neno, hahitaji kuja leo specifically amkemee mtu. Ukisoma neno utapata maelekezo na makemeo.
 
Weka andiko hilo... usije ukawa umekaririshwa ndugu... Kasome YOHANA 11:1-48
Unajua kwanini muujiza wa kufufua mtu ni mgumu sana? Kwasababu anayeweza kufufuliwa ni yule ambaye ameenda mbinguni. Tena hapo lazima awe hakumaliza kazi yake duniani ndio Mungu anaweza kuruhusu arudi.

Mtu akifa na akaingia kuzimu basi hata Mungu mwenyewe 'hawezi' tena kumrudisha. Sio kwasababu hana uwezo, hapana, kwasababu anakuwa ameshahukumiwa na hawezi tena kuupata msamaha wa Yesu Kristo. Neema ipo ukiwa hai, ukishakufa hakuna tena neema.

Sasa tunaambiwa Lazaro alikuwa rafiki wa Yesu hivyo alikuwa mbinguni na ndio maana aliweza kumfufua.
 
Usikurupuke wewe, sisi tunamtakia amani, hakuna maombi hapo, tunamtakia amani

Tukiamini kwamba yeye ni kipenzi cha Mwenyezi Mungu hivyo kumtakia amani ni kumfurahisha Mwenyezi Mungu, yani sawa tu na kumsifu Mungu na manabii wake kunavyomfurahisha, ndio tukimtakia amani anavyofurahika
Mnamuombea rehema, usidanganye hapa. Na rehema anaombewa yule aliyefanya kosa/dhambi.
 
Nani, mbona wewe mwenyewe umekana kuwa hakuna sehemu ametajwa?
Mbona huna uhakika au unaogopa nini kuwa transparency.

Ukimuombea mwenzako lilo jema kwa imani yangu mimi hata hatatakaswa lakini wewe muombaji wa wema kwake haupati dhambi isipokuwa utapata swawabu.

Kama hivyo ndivyo kuna shida gani kumuombea mtu mema hata kama alishatakaswa tayari Mwenyezimungu kuna ubaya gani? As long as hakuna kitu kitapotea kwako kwa kufanya hivyo?
Niliyemjibu tayari alimtaja huyo tunayemuongelea.

Unamuombeaje mtu akiwa tayari ameingia ahera kwa ushindi? Yaani kipenzi cha mungu aombewe akiwa tayari yupo na mungu?
 
Usikurupuke wewe, sisi tunamtakia amani, hakuna maombi hapo, tunamtakia amani

Tukiamini kwamba yeye ni kipenzi cha Mwenyezi Mungu hivyo kumtakia amani ni kumfurahisha Mwenyezi Mungu, yani sawa tu na kumsifu Mungu na manabii wake kunavyomfurahisha, ndio tukimtakia amani anavyofurahika
Mnamtakia Aman mfu marehemu?

Hizo kumtakia Aman zinamsaidia nn?

Kama alikufa katika dhambi ,asubiri Moto wa jehanum
 
Et Wote wanakiri shahada,huwez kusema. Kwenye Ukristo MADHEHEBU yote sawa

NDIO maana nakuuliza uuslamu upi twende? Shia au Sunni?

Kwa Ukristo Wote wanakiri Yesu Ni Bwana na mwokoz, Lkin sio kigezo et uende Dhehebu lolote

Hata Mwamposa Ni tapeli ila anajiita Mkristo

Yesu alisema sio kila asemaye Bwana Bwana Ni mkweli

Turud kwa Hoja kwenye uislamu Kuna MADHEHEBU 73 ,

Ni Lipi twende?
Ni lile linalo kiri kuwa Mohamadi ni mtume wa Mungu na Allah ana mshirika, hakuzaa wala hakuzaliwa, na Issa bin Maryamu sio Mungu ni nabii tu, dhehebu hili ndio linalo takiwa
 
Et Wote wanakiri shahada,huwez kusema. Kwenye Ukristo MADHEHEBU yote sawa

NDIO maana nakuuliza uuslamu upi twende? Shia au Sunni?

Kwa Ukristo Wote wanakiri Yesu Ni Bwana na mwokoz, Lkin sio kigezo et uende Dhehebu lolote

Hata Mwamposa Ni tapeli ila anajiita Mkristo

Yesu alisema sio kila asemaye Bwana Bwana Ni mkweli

Turud kwa Hoja kwenye uislamu Kuna MADHEHEBU 73 ,

Ni Lipi twende?
Dhehebu pekee linalo kiri kuwa Allah hana mshirika , hakuzaa wala hakuzaliwa, Mohamadi ni mtume wa Mungu na Issa bin Maryamu ni nabii tu wala sio Mungu, hili ndio dhehebu la kufata, swali jingine?
 
Back
Top Bottom