ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Hatujachoka na hatuchoki, ukiona vyaelea vimeundwa, wacha tuwaombee wazazi wetu na waalimu wetu walio tufanya tukatoa ujingaRudi hapa kwenye komenti yako. Watu wamechoka kuombea wafu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujachoka na hatuchoki, ukiona vyaelea vimeundwa, wacha tuwaombee wazazi wetu na waalimu wetu walio tufanya tukatoa ujingaRudi hapa kwenye komenti yako. Watu wamechoka kuombea wafu.
Mungu anafanya kazi kwa kanuni zake. Mfano kuna kanuni ya kupanda na kuvuna au kanuni ya nguvu ya uvutano. Ukifuata kanuni hata kama ni mwenye udhaifu na wakati mwingine mwenye dhambi bado unaweza kupata matokeo yanayohusiana na ile kanuni.Baraka inatoka kwa Mungu kupitia baba mzazi, sasa baba mzazi tayari alishadanganywa na akatoa baraka kwa kudanganywa, maana yake process nzima imejaa ubatili na baraka zimejaa ubatili, vip Mungu atie mkono wake kwenye ubatili wa namna hii?
Usipotafuta utakatifu hapa duniani sahau kufanywa mtakatifu kwa maombi ya wengine.Hatujachoka na hatuchoki, ukiona vyaelea vimeundwa, wacha tuwaombee wazazi wetu na waalimu wetu walio tufanya tukatoa ujinga
Umeanza kuchanganyikiwa sasa, wote wanapanda ardhini , sio kazi yao kuchepusha mazao ni kazi ya ardhi, rudi kwenye hoja Mungu kaweka utaratibu lazima baraka baba atoe kwa mtoto wake wa kwanza, Mzee Isiaka akiamini kuwa anatoa kwa Essau kumbe kuna mtu na mama yake wamemdanganya , process nzima imekuwa batili , vip output iwe safi? ni ubatili mtupu na Mungu wao aliupitisha bila wasiwasiMungu anafanya kazi kwa kanuni zake. Mfano kuna kanuni ya kupanda na kuvuna au kanuni ya nguvu ya uvutano. Ukifuata kanuni hata kama ni mwenye udhaifu na wakati mwingine mwenye dhambi bado unaweza kupata matokeo yanayohusiana na ile kanuni.
Mtakatifu na mwenye dhambi wote wakipanda mbegu wanavuna. Wote wakijiachia kutoka juu ya jengo la ghorofa kumi wataumia vibaya na pengine kufa.
Kanuni za Mungu zinaweka usawa.
Umeishia kuandika tu kwamba anaombewa bila kutuonyesha anaombewaje, maana sisi ndiyo waislamu wenyewe tunaishi katika Uislamu na tunausoma ila hatujaona hizi habari. Wewe umezipata wapi za Mtume kuombewa.Mtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake.
Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa.
Mtume Petro naye alikumbusha kuombea huduma na alipomaliza aliwaambia waumini kwamba wakati umefika kwake kuondoka tena itakuwa kutundikwa juu ya msalaba kichwa kikiwa chini na miguu juu.
Hawa wote wawili walikuwa na furaha na kuondoka duniani kwa uhakika na ushindi. Walikuwa wakiwasisitiza waumini wafuate mfano wao.
Sasa nashangaa kuna nabii eti ni wa mwisho na ndio mkuu kwa wote lakini mpaka sasa anaombewa akiwa amefariki.
Alikwama wapi na nini kimemfanya yeye asiwe na uhakika wa kuingia mbinguni mpaka aendelee kuombewa?
Dunian utakatifu natafuta ndio maana nafundisha watu mambo mema, hata nikifa wale watu wanikumbuke kwa wema kwa kutenda sawa na elimu nilio wafundisha ili thawabu zangu ziongezekeUsipotafuta utakatifu hapa duniani sahau kufanywa mtakatifu kwa maombi ya wengine.
Sala gani kijana, si utuambie ? Kuna Wakristo wenzako naona wamekuunga mkono, hata kukuuliza mwenzao wanashindwa, yaani Wakristi vilaza sana. Wamekaa kishabiki shabiki mno.Fuatilia baadhi ya sala/swala. Lazima aombewe.
Bibie samahani lakini, hivi umeolewa ?Ukiwa huna uhakika na unachoandika ni BORA KUTOANZISHA UZI....
kwenye Uislam ukisikia anatajwa Mola Mlezi utasikia kwa mfano Allah Subhanah Wataala, akitajwa Mtume utasikia Rehema na Amani ziwe juu yake, wakitajwa mitume wote waliobakia aliwemo mtume wa Allah Issah utakisikia Alayh Salam, wakitajwa maswahaba utasikia Radhiallah Anhu, Waja wema waliotangulia Rahmahullah au waliopo HAI utasikia hafidhallah
Kwa hiyo siyo kweli UNACHOKISEMA KUWA KWENYE UISLAM MTUME ANAOMBEWA MSAMAHA.....
MOLA MLEZI ameweka utaratibu wa kumtukuza YEYE kila anapotajwa au unapotaja jina la Mola Mlezi, kuwatakia salama na amani Waja wema waliotangulia kwa maana waliishi na kumridhisha YEYE na YEYE amewaridhia na wanaombewa mpaka na malaika...
KINYUME CHAKE kwa kila aliyeishi kwa UJABARI NA KUMUASI MOLA MLEZI KAMA FIRAUNI na wote wanaomfuatia basi utasikia yakitamkwa MKASIRIKO YA MOLA MLEZI NA KUWEKWA MBALI NA REHEMA ZAKE baada ya majina yao!!!!
Kwa aliye hai ataombewa UONGOFU ila akifa mwanadamu kati uasi basi hadi Malaika watamwombea Makasiriko ya Mola Mlezi....
HUJAWAHI ONA MTU ANAFARIKI NA WATU WANAFURAHI KUWA WATAPUMZIKA KUTOKANA NA MAUDHI AU DHULMA ZAKE???? Au MWINGINE ANAFARIKI KILA YUALIA KUTOKANA NA WEMA WAKE KWA WATU???
Basi jua vivyo hivyo kwa wanadamu na Mailaka kumwombea aliyefariki au hata aliye HAI...
Yakobo alikuwa na haki na ndio maana Mungu akampa baraka.Umeanza kuchanganyikiwa sasa, wote wanapanda ardhini , sio kazi yao kuchepusha mazao ni kazi ya ardhi, rudi kwenye hoja Mungu kaweka utaratibu lazima baraka baba atoe kwa mtoto wake wa kwanza, Mzee Isiaka akiamini kuwa anatoa kwa Essau kumbe kuna mtu na mama yake wamemdanganya , process nzima imekuwa batili , vip output iwe safi? ni ubatili mtupu na Mungu wao aliupitisha bila wasiwasi
Mwenye haki hawezi mdanganya baba yake mzazi , yule alikuwa na mashaka kuwa haki aliipata kwa utapeli, ndio maana akaamua kufanya ule uhuni mbele ya baba yake mzazi, ule ni ubatiliYakobo alikuwa na haki na ndio maana Mungu akampa baraka.
Paulo na Petro ni watume wa Yesu Kristo.Umeishia kuandika tu kwamba anaombewa bila kutuonyesha anaombewaje, maana sisi ndiyo waislamu wenyewe tunaishi katika Uislamu na tunausoma ila hatujaona hizi habari. Wewe umezipata wapi za Mtume kuombewa.
Kingine aya yako ya kwanza inaonyesha wazi Paulo hakuwa Mtume, sasa najiuliza utume wa Pauolo na Petro wameupata wapi, isiwe hata maana ya Utume pia huijui. Naomba ujibu swali nililo kuuliza.
Shukrani.
Wapi hujapata mwongozo kwenye hii mada? Wakristo unawapa kashfa bila sababu yoyote.Sala gani kijana, si utuambie ? Kuna Wakristo wenzako naona wamekuunga mkono, hata kukuuliza mwenzao wanashindwa, yaani Wakristi vilaza sana. Wamekaa kishabiki shabiki mno.
Sasa wewe ndiyo umeanzisha mada, ajabu unashindwa kuitetea mada yako, shida nini ?
Haki Ile aliinunua kihalali na akafanya mbinu kuhakikisha baba yake hamfanyii fitna kumnyima kisa chakula cha Esau.Mwenye haki hawezi mdanganya baba yake mzazi , yule alikuwa na mashaka kuwa haki aliipata kwa utapeli, ndio maana akaamua kufanya ule uhuni mbele ya baba yake mzazi, ule ni ubatili
Tuwekee ushahidi wapi Yesu aliwapa utume sababu utume hauji kwa ndoto au kama kupewa pipi au kupokezana vijiti.Paulo na Petro ni watume wa Yesu Kristo.
Mswalie mtumeee.. allah akbar. Watukufu waislamu, tumswalie mtume na kumuombea rehma za mwenyenzi mungu.
Haya maneno kila siku nayasikia msikitini wa jirani hapa.
Utakatifu unaompa mtu uzima wa milele unatokana na imani kwa Yesu Kristo ili kupata msamaha wa dhambi. Nje ya hapo hakuna utakatifu wowote.Dunian utakatifu natafuta ndio maana nafundisha watu mambo mema, hata nikifa wale watu wanikumbuke kwa wema kwa kutenda sawa na elimu nilio wafundisha ili thawabu zangu ziongezeke
Umesahau mada yako inaongelea nini ? Hivi Wakristo wenzako wamehmshindwa kukuhoji ? Kwamba unaandika jambo ambalo huna elimu nalo ? Au kwasababu nyote mazwazwa ndiyo maana hili liko hivi ?Wapi hujapata mwongozo kwenye hii mada? Wakristo unawapa kashfa bila sababu yoyote.
Paulo kaonana na Yesu akiwa njiani kwenda Damascus. Akapewa utume.Tuwekee ushahidi wapi Yesu aliwapa utume sababu utume hauji kwa ndoto au kama kupewa pipi au kupokezana vijiti.
Sababu inaonyesha Paulo alikuwa Myahudi kiasili na hajawahi kuonana na Yesu, utume aliupata wapi na lini ?
Sijaona hoja yoyote uliyoileta ambayo haijapata majibu mujarabu.Umesahau mada yako inaongelea nini ? Hivi Wakristo wenzako wamehmshindwa kukuhoji ? Kwamba unaandika jambo ambalo huna elimu nalo ? Au kwasababu nyote mazwazwa ndiyo maana hili liko hivi ?
UNAKWEPA MASWAL KIJANA1. Wote wanakubali kuwa Allah ni Mungu
2.wote wanakubali mohamadi ni nabii
3.wote wanakubali kuwa Isa bin Maryamu ni nabii sio Mungu
Hayo mengine yote sio tatizo kutofautiana, sasa watu wanatofautiana kwenye mwezi muandamo hivi ni vitu vidogo ambavyo haviwezi mtoa mtu katika Uislam